Uhuru usiokuwa na mipaka ni uhayawani

Manelezu

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
1,907
2,769
Kati ya vitu binadamu alipewa na mwenyezi Mungu ni ubongo. Kazi kubwa ya ubongo ni kufikili na kutoa maamuzi sahihi yenye tija katika jamii.

Asilimia kubwa ya watanzania ni masikini hali yao ya kiuchumi ni ngumu.

Siasa za Chadema kwa miaka mingi especially katika utawala wa JK zimekuwa ni siasa za uchochezi, kuchochea hawa wananchi masikini wanaotakiwa wakombolewe kiuchumi na kijamii kuasi na kukosa uzalendo kwenye taifa lao.

Binafsi naamini economic and social rights are more significant in our specific case more than political and civil rights.

Mtanzania anaitaji huduma za msingi za kiuchumi na kijamii kuliko kulishwa sias 24/7. Siasa ina umuhimu na mchango mkubwa kwenye kukuza uchumi na naamini itumike kupiutia bunge. Wanasiasa wakafanye siasa huko tutawasikia kupitia bunge letu.

Siasa za uchochezi zikiachwa hazitaliacha taifa hili salama. Na namuunga mkono Mh. Rais kwa kuzizuia mpaka 2020.

Hata Marekani na wiingereza kampeni zimeisha hatuwaoni chama cha demokrats au labour wakifanya kampeni majukwaani for incitements.

Wamehamishia siasa zao kwenye mabunge kuipinga serikali au sera za serikali.

Hatupaswi kuendekeza mambo ya kijinga kama Taifa. Tulinde amani tulipende taifa letu.
 
Back
Top Bottom