Hiki ndicho kizazi kinachohitajika Afrika wa sasa. Viongozi wengi wa Afrika wamekuwa wakiiga maisha ya viongozi wa Nchi zilizoendelea na kuishia kufilisi nchi zao. Wewe unakua Rais unaunda baraza la mawaziri 58 unaanzisha shule ya mawaziri? Unakuwa na msafara wa magari zaidi ya 20 wewe marehemu? Mambo ya ajabu sana. Unakuwa na waziri wa Mambo ya nchi lakini wewe unasafiri kuliko hata waziri wa mambo ya nje, si mtu ajitangaze tu kuwa ni rais na pia ni waziri wa mambo ya nje?
A plane was about to crash and
there were only four parachutes on
the plane. Meanwhile there were
five people on it. The first person,
Lionel Messi, said, "I'm the world's
best footballer right now, I cant die
now!"
So he took one of the parachutes
and left. The second person, Bill
Gates, said, "I'm the richest man on
Earth, I can't die now, I'm needed in
the world!"
So he took the second parachute
and left. The third was the
Tanzanian President and he said,
"I'm the smartest President in the
world, so I cant die now, my people
still need me!"
So he took one and left.
Then it was left with the Pope and a
little school girl. The Pope said to
the little girl, "Take the last one, I'll
sacrifice my life for you."
The little girl replied, "No need for
that, There are two parachutes left."
The pope asked her, "How come?"
The little girl replied, "The
Tanzanian President took my school
bag." Ndio Huyu wa kwetu???
na wewe umefumbwa macho na huyo fisadi kushusha 20% ya mshahara wake ili msioji ardhi aliyopora, na unajua kwa siku hiyo ardhi ambayo ndo uchumi wenyewe inamuingizia mshahara wake mara ngapi? jifunze kupembua pumba na mchele usiishi kwa kulishwa mamneno tumia mda wako vizuri kujifunza kijana usibweteke.Imekuwa ni tabia ya Uhuru Kenyatta rais wa Kenya kuishi maisha ambayo sio yaliozoeleka kwa viongozi wengine wa Africa..kwa sasa ni rais anaetembea na msafara mdogo sana kuliko wote E Africa pmoja na tishio la ugaidi kenya. Na wiki mbili zilizopita amekutwa akiwa na gari Moja na security details wanne akielekea hotelini kwenye kikao cha kifamilia, na alipo kuwa kwene trafic lights alimsalimia police, na watu wengine.
KIBOKO ni hii.
Jana amekuja tanzania kupitia Boda ya Namanga arusha na magari yasiyozidi nane, na amesema baada ya kufungua bunge la Africa mashariki atarudi kenya kupitia boda ya Taveta ipo kilimanjaro rombo.
Ikumbukwe majuzi juzi rais huyu amejiondolea mshahara wake zaidi ya 20% na amewataka viongozi wa nyadhifa serikalini wapunguziwe 20%.
Ikumbukwe huyu rais hapendi kuzurura nchi za watu anaamini uchumi wa kenya sio yeye peke yake anaweza kuuinua ndio maana kadeligate power kwa waziri wa mashauriano ya kigeni..ana nguvu sana.
Lipo la kujifunza. Kenyatta sio limbukeni pengine ni kwa sababu ni mtoto wa aliekuwa rais wa kenya. Sijui but the guy ni gentleman hata uwezo wa kumanage diplomasia za nchi hizi masikini Tanzania, uganda, rwanda,burundi na kongo anaweza. Hana adui wa kudumu, hana rafiki wa kudumu. Ana maslahi ya kudumu.
Hiki ndicho kizazi kinachohitajika Afrika wa sasa. Viongozi wengi wa Afrika wamekuwa wakiiga maisha ya viongozi wa Nchi zilizoendelea na kuishia kufilisi nchi zao. Wewe unakua Rais unaunda baraza la mawaziri 58 unaanzisha shule ya mawaziri? Unakuwa na msafara wa magari zaidi ya 20 wewe marehemu? Mambo ya ajabu sana. Unakuwa na waziri wa Mambo ya nchi lakini wewe unasafiri kuliko hata waziri wa mambo ya nje, si mtu ajitangaze tu kuwa ni rais na pia ni waziri wa mambo ya nje?
Mkuuu nimecheka, almost break ma ribbs hahahahahahahaaaa
vijana wa ufipa simulipeleka jeshi la ardhini kumnadi Odinga!!! na kulikoni leo hii huyu mnamuona tunu wakati mnapiga vita Ridh1 kugombea charinze? au kenya mtoto wa rais kugombea ruksa ila tanzania hamtaki! hili ndo linafanya muonekane kwa jamii kuwa wala hamjui munafanya nini na tatizo ni viroba ambavyo babu yenu anaviabudu.Alafu jamaa yuko simple sana. Subir vijana wa Lumumba watakuja na povu hapa sasa hivi
Imekuwa ni tabia ya Uhuru Kenyatta rais wa Kenya kuishi maisha ambayo sio yaliozoeleka kwa viongozi wengine wa Africa..kwa sasa ni rais anaetembea na msafara mdogo sana kuliko wote E Africa pmoja na tishio la ugaidi kenya. Na wiki mbili zilizopita amekutwa akiwa na gari Moja na security details wanne akielekea hotelini kwenye kikao cha kifamilia, na alipo kuwa kwene trafic lights alimsalimia police, na watu wengine.
KIBOKO ni hii.
Jana amekuja tanzania kupitia Boda ya Namanga arusha na magari yasiyozidi nane, na amesema baada ya kufungua bunge la Africa mashariki atarudi kenya kupitia boda ya Taveta ipo kilimanjaro rombo.
Ikumbukwe majuzi juzi rais huyu amejiondolea mshahara wake zaidi ya 20% na amewataka viongozi wa nyadhifa serikalini wapunguziwe 20%.
Ikumbukwe huyu rais hapendi kuzurura nchi za watu anaamini uchumi wa kenya sio yeye peke yake anaweza kuuinua ndio maana kadeligate power kwa waziri wa mashauriano ya kigeni..ana nguvu sana.
Lipo la kujifunza. Kenyatta sio limbukeni pengine ni kwa sababu ni mtoto wa aliekuwa rais wa kenya. Sijui but the guy ni gentleman hata uwezo wa kumanage diplomasia za nchi hizi masikini Tanzania, uganda, rwanda,burundi na kongo anaweza. Hana adui wa kudumu, hana rafiki wa kudumu. Ana maslahi ya kudumu.
na wewe umefumbwa macho na huyo fisadi kushusha 20% ya mshahara wake ili msioji ardhi aliyopora, na unajua kwa siku hiyo ardhi ambayo ndo uchumi wenyewe inamuingizia mshahara wake mara ngapi? jifunze kupembua pumba na mchele usiishi kwa kulishwa mamneno tumia mda wako vizuri kujifunza kijana usibweteke.