Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,172
Nitakuwa live hapa nikiwapa updates.
sasa ni igizo la boss uchwara anayetoa ajira kwa mtindo wa mkono mtupu haurambwi.
kabla ya hapo kulikuwa na fracas kidogo kati ya wanausalama na watu wa bodaboda. hali imetulia.
saa 5:00 muda wa rhumba.
anaanza bibie faya tess na kibao nadina cha mbilia bel, wanenguaji ni moto faya.
sasa anatumbuiza Nyboma Mwan'dido kama yeye. kazeeka lakini bado wamo.
saa 5:30 burudani nyingine ya wafanyakazi
saa 6:30 anaongea Mike Sonko, Gavana wa Nairobi. anasema leo siyo siku ya siasa. ni siku ya kusherehekea siku ya wafanyakazi duniani. anamaliza.