Deeboyfrexh
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 3,422
- 5,594
Habari wana jf,
Kwa mara kadhaa huwa nmeskia kwamba ni vizuri kumpa uhuru mpenzi wako hasa wa kike kwa maana tupunguze kuwafuatilia,tuwe majentromeni maana kum trace ni kuonyesha udhaifu na wivu na upungufu wa kumuamini eti.
Kwa mantiki hii unakuta mtu huyo huyo atakaepewa uhuru baada ya muda anaweza kuanza kukuchezea rafu na dharau juu sasa huwa inatatiza sana, labda tueleweshane huu uhuru unaotakiwa tuwape ni kwamba mnastahili au tuendelee kuwafwatilia nyendo zenu mda wote ukizingatia majanga ni mengi siku hizi!