Ameyasema hayo katika sherehe za uhure wa kenya leo,Nukuu
''Serikali nyingi Africa zinajiendesha kwa kukomoa matajiri ,wanaamini unaweza kumuimarisha mnyonge kwa kumudhorotesha mwenye nguvu...''
Nini maoni yako juu ya serikali yetu na kauli hii.
Mchango wako mzuri kama ungeondoa hiyo nyekundu ,mkuu lazima ifike kipindi tukubaliane utajiri ni malipo ya kazi kwa bidii na nidhamu,na swala la kukwepa kodi ni udhaifu wa serikali,hata Obama aliwahi kusema hapendi kulipa kodi ila inabidi,ni jambo baya kutegemea matajiri wakulipe kodi kwa hisani na swala la ukwepaji nadhani wanyonge ndo wakwepaji zaidi ,mimi naamini jamii inatakiwa itengenezwe kupenda ukwasi kwani mtu mmoja akitajirika wanyonge 1000 wamepata nafuuSasa ulitegemea Bilionea asemeje? Of course hataki kulipa kodi ili andelee kuwa Bilionea na wewe ubakie kapuku na kumpigia makofi kama unavyofanya, too stupid!
Mkuu hakuna mtu anayepinga utajiri halali kama wa Mohamed Enterprises au Bakhressa, si utakumbuka Magufuli alivyomsaidia Bakhressa kuunganishiwa umeme katika viwanda vyake baada ya kuambiwa na TANESCO kwamba kiasi cha umeme anachohitaji ni kikubwa sana haitowezekana?, pia alimuambia kwamba ajiingize kwenye kilimo cha miwa na atampa shamba bure la ukubwa wowote anaotaka?, sasa huu utajiri wa Kenyatta family wa kuchukua ardhi ya wananchi kwa nguvu na hadi leo baadhi ya ardhi imekaa bila kuendelezwa ndiko kusikofaaMchango wako mzuri kama ungeondoa hiyo nyekundu ,mkuu lazima ifike kipindi tukubaliane utajiri ni malipo ya kazi kwa bidii na nidhamu,na swala la kukwepa kodi ni udhaifu wa serikali,hata Obama aliwahi kusema hapendi kulipa kodi ila inabidi,ni jambo baya kutegemea matajiri wakulipe kodi kwa hisani na swala la ukwepaji nadhani wanyonge ndo wakwepaji zaidi ,mimi naamini jamii inatakiwa itengenezwe kupenda ukwasi kwani mtu mmoja akitajirika wanyonge 1000 wamepata nafuu
Anaakili sana japo amepita kwa mabavuAmeyasema hayo katika sherehe za uhure wa kenya leo,Nukuu
''Serikali nyingi Africa zinajiendesha kwa kukomoa matajiri ,wanaamini unaweza kumuimarisha mnyonge kwa kumudhorotesha mwenye nguvu...''
Nini maoni yako juu ya serikali yetu na kauli hii.
Ameyasema hayo kwa manufaa ya familia yake na watoto wake.Ameyasema hayo katika sherehe za uhure wa kenya leo,Nukuu
''Serikali nyingi Africa zinajiendesha kwa kukomoa matajiri ,wanaamini unaweza kumuimarisha mnyonge kwa kumudhorotesha mwenye nguvu...''
Nini maoni yako juu ya serikali yetu na kauli hii.
una uhakika gani utajiri wa mo ni wa halali? je siku ukikutana na dirty paper zao utafanyaje wew ongelea matajiri in general ukianza kuwasafisha iyo ni habari nyingine usiwajudge kwa historia zao zakuridhi cjui kusomaMkuu hakuna mtu anayepinga utajiri halali kama wa Mohamed Enterprises au Bakhressa, si utakumbuka Magufuli alivyomsaidia Bakhressa kuunganishiwa umeme katika viwanda vyake baada ya kuambiwa na TANESCO kwamba kiasi cha umeme anachohitaji ni kikubwa sana haitowezekana?, pia alimuambia kwamba ajiingize kwenye kilimo cha miwa na atampa shamba bure la ukubwa wowote anaotaka?, sasa huu utajiri wa Kenyatta family wa kuchukua ardhi ya wananchi kwa nguvu na hadi leo baadhi ya ardhi imekaa bila kuendelezwa ndiko kusikofaa
Unatoka nje ya mada, hadi sasa hakuna mahali ambapo amekamatwa au kushutumiwa au kuonekana kama mali zake sio za halali, kwa hiyo itakapogundulika sio halali utakuwa na haki ya kumtuhumu, lakini kwasasa tunamchukulia kwamba yupo innocent hadi sheria itakavyotamka vyenginevyo, hiyo ndiyo kanuni ya sheria za nchi zetu, sio kanuni yangu, sasa kama wewe unaanza kuchukulia kwamba any body is guilty until proved otherwise, hiyo utajua wewe na nafsi yako.una uhakika gani utajiri wa mo ni wa halali? je siku ukikutana na dirty paper zao utafanyaje wew ongelea matajiri in general ukianza kuwasafisha iyo ni habari nyingine usiwajudge kwa historia zao zakuridhi cjui kusoma
jamani kenya na Tanzania ni tofauti ki katiba.Kenya ardhi ni mali ya mtu ilihali huku Tz ardhi ni mali ya serikali.Ameyasema hayo kwa manufaa ya familia yake na watoto wake.
1. The extended Kenyatta family alone owns an estimated 500,000 acres of land in Kenya.
2. The Kenyatta family also owns 24, 000 acres in Taveta sub-district (adjacent to the 74, 000 acres owned by former MP Basil Criticos).
3. Others are 50, 000 acres in Taita that is currently under Mrs Beth Mugo, Minister for Public Health & Sanitation and niece of the first President
4. They also own 29, 000 acres in Kahawa Sukari along the Nairobi Thika highway
5. 10, 000 acre Gichea Farm in Gatundu
6. A 5, 000 acre tract of land in Thika
7. 9,000 acres in Kasarani
8. 5, 000-acre Muthaita Farm.
9. The Brookside Farm, Green Lee Estate, Njagu Farm all in Juja (size unknown)
10. A quarry in Dandora in Nairobi
11. A 10, 000-acre ranch in Naivasha
12. A 52,000-acre farm in Nakuru
13. A 20,000-acre one, also known as Gichea Farm, in Bahati under Kenyatta’s daughter, Margaret
14. A 10, 000 acre farm in Rumuruti owned by former first lady Mama Ngina
15. A 40,000 acre farm in Endebes, Rift Valley Province
16. A 1,000-acre farm in Dagoretti owned by Kenyatta’s first wife Wahu
https://www.facebook.com/
Basi aache kutoa mifano kuwa nchi zingine za kiafrica zinakandamiza matajiri. Aanze na mambo ya nchi yake. Kwanini yeye anakandamiza raia kwa kuchukua ardhi kubwa kiasi hicho kwa kutumia utajiri wake? Anatakiwa apambane na hali yake.jamani kenya na Tanzania ni tofauti ki katiba.Kenya ardhi ni mali ya mtu ilihali huku Tz ardhi ni mali ya serikali.
Ameyasema hayo katika sherehe za uhure wa kenya leo,Nukuu
''Serikali nyingi Africa zinajiendesha kwa kukomoa matajiri ,wanaamini unaweza kumuimarisha mnyonge kwa kumudhorotesha mwenye nguvu...''
Nini maoni yako juu ya serikali yetu na kauli hii.
Unakwepesha tundu wakati limeshalengwa!Sasa ulitegemea Bilionea asemeje? Of course hataki kulipa kodi ili andelee kuwa Bilionea na wewe ubakie kapuku na kumpigia makofi kama unavyofanya, too stupid!
Kha!! Mshabiki wa Uhuru Kenyatta umefika huku!!! Anatakiwa apambane na nchi yake aachane na issue za nchi za watu hajawasaidia kupata uhuru. Nchi yake inakabiliwa na njaa na matukio ya kigaidi. Tena anatakiwa ashughulike na nchi yake.Unakwepesha tundu wakati limeshalengwa!
Hajasema habari ya kodi.
Tena ukome kueneza falsafa yako potofu kwamba kodi inafilisi au angalau inazuia kutajirika.
Mfate mwenyekiti uvccm akupe madesa ya kujibia maswali mitandaoni.
Bila shaka unawashangaa wanaodai Lowasa ni fisadi!Unatoka nje ya mada, hadi sasa hakuna mahali ambapo amekamatwa au kushutumiwa au kuonekana kama mali zake sio za halali, kwa hiyo itakapogundulika sio halali utakuwa na haki ya kumtuhumu, lakini kwasasa tunamchukulia kwamba yupo innocent hadi sheria itakavyotamka vyenginevyo, hiyo ndiyo kanuni ya sheria za nchi zetu, sio kanuni yangu, sasa kama wewe unaanza kuchukulia kwamba any body is guilty until proved otherwise, hiyo utajua wewe na nafsi yako.
Hii ndio faida ya kuzaliwa na baba mwenye akili, me mwenyewe namlaumu mzee kwa vi acre 300 pale bagamoyo kwa nini hakusomba zaidi. Cha mjinga uliwa na mwelevu.Ameyasema hayo kwa manufaa ya familia yake na watoto wake.
1. The extended Kenyatta family alone owns an estimated 500,000 acres of land in Kenya.
2. The Kenyatta family also owns 24, 000 acres in Taveta sub-district (adjacent to the 74, 000 acres owned by former MP Basil Criticos).
3. Others are 50, 000 acres in Taita that is currently under Mrs Beth Mugo, Minister for Public Health & Sanitation and niece of the first President
4. They also own 29, 000 acres in Kahawa Sukari along the Nairobi Thika highway
5. 10, 000 acre Gichea Farm in Gatundu
6. A 5, 000 acre tract of land in Thika
7. 9,000 acres in Kasarani
8. 5, 000-acre Muthaita Farm.
9. The Brookside Farm, Green Lee Estate, Njagu Farm all in Juja (size unknown)
10. A quarry in Dandora in Nairobi
11. A 10, 000-acre ranch in Naivasha
12. A 52,000-acre farm in Nakuru
13. A 20,000-acre one, also known as Gichea Farm, in Bahati under Kenyatta’s daughter, Margaret
14. A 10, 000 acre farm in Rumuruti owned by former first lady Mama Ngina
15. A 40,000 acre farm in Endebes, Rift Valley Province
16. A 1,000-acre farm in Dagoretti owned by Kenyatta’s first wife Wahu
https://www.facebook.com/
Msijifungie milango na kuanza kushusha kipondo kwa watoto wenu, mnajigamba kabisa eti musituingilie tunapiga wakwetu!Kha!! Mshabiki wa Uhuru Kenyatta umefika huku!!! Anatakiwa apambane na nchi yake aachane na issue za nchi za watu hajawasaidia kupata uhuru. Nchi yake inakabiliwa na njaa na matukio ya kigaidi. Tena anatakiwa ashughulike na nchi yake.
Hao ndio wakwepaji kodi wakubwa hapa nchini nimefanya kazi hapo kwa mda mfupi ilikua field... Sema wanauma na kupuliza... Kwa mMkuu hakuna mtu anayepinga utajiri halali kama wa Mohamed Enterprises au Bakhressa, si utakumbuka Magufuli alivyomsaidia Bakhressa kuunganishiwa umeme katika viwanda vyake baada ya kuambiwa na TANESCO kwamba kiasi cha umeme anachohitaji ni kikubwa sana haitowezekana?, pia alimuambia kwamba ajiingize kwenye kilimo cha miwa na atampa shamba bure la ukubwa wowote anaotaka?, sasa huu utajiri wa Kenyatta family wa kuchukua ardhi ya wananchi kwa nguvu na hadi leo baadhi ya ardhi imekaa bila kuendelezwa ndiko kusikofaa