uyu uhuru japokuwa naona anaongea kiswajili kizuri kuliko raila lakini ninawasiwasi na siasa zake za nje ya kenya hasa east African community sijawaghi kumsikia hata siku moja akiitembelea TZ ila RAILA WALA HATUNA HOFU NAYE KILA SIKU TUPO NAYE NI MWENZETU NI RAFIKI WA DHATI WA WATZ NA ATADUMISHA KWA DHATI USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI
Uhuru ni mtu business minded na sidhani aweza kudhuru kwa vyovyote vile uhusiano na nchi jirani haswa Tz.Amewahi kuwa tz not so long ago alipokuwa akitafuta uungwaji mkono wa kikwete katika bid yake ya urais.Alizuru nchi jirani zote pia.