Uhuru Kenyatta launches his own party

EMT

Platinum Member
Jan 13, 2010
14,483
15,308
Kenyan Deputy Prime Minister, Uhuru Kenyatta, has launched The National Alliance (TNA) party and ended weeks of anxiety on his preferred political vehicle, ahead of the forthcoming presidential contest. In a launch marked with glitz and glamour, Kenyatta said the new party will strive to conduct the country's politics differently, with people empowerment at the heart of his presidential bid.

The Gatundu South lawmaker promised an accountable Government that will provide a platform for the youth, who make up the bulk of the Country's population to, amongst other things, derive a livelihood from their talents. The Deputy Prime Minister sidestepped the woes he faces before the International Criminal Court, but called for de-tribalised politics and a peaceful Electoral process as the Kenyan electorate goes to the polls, in the first General Election, under The New Constitution. Francis Gachuri witnessed the launch, dubbed the 'i believe experience' and has the details.

[video=youtube_share;4-cm6BCs1rw]http://youtu.be/4-cm6BCs1rw[/video]
 
Kenyan politics is scary
to say the least...

these criminal are so powerfull that the people dont know what to do.....
 
yaani mtu ameshitakiwa The hague halafu anagombea uraisi??

it is only in Kenya!

kwani hakuna watu wengine wa kuongoza kenya?? ni lazima awe tu Uhuru Kenyatta?

Ile ardhi baba yao aliyopora baada ya uhuru je familia ya Uhuru Kenyatta amesharudisha kwa wananchi??
 
Siasa za Kenya ni balaa yaani ukiona matambo ya kila mtarajiwa wa kugombea urais ni balaa kila mmoja analilia kwenda ikulu
Na by the way kwani kampeni zimeanza mbona watu wanafanya kampeni kwa kwenda mbele
 
Siasa za Kenya ni balaa yaani ukiona matambo ya kila mtarajiwa wa kugombea urais ni balaa kila mmoja analilia kwenda ikulu
Na by the way kwani kampeni zimeanza mbona watu wanafanya kampeni kwa kwenda mbele

Mkuu mbona hawana tofauti na hapa kwetu?
 
odinga deserves it.

but he wont get it, he has done more harm to kenyans than good..start from inhumane mau eviction after getting RV votes, MRC saga (endorsing what he rebuked in parliament), fall out with big wits...Ruto, Musalia and Balala. After Ruto fightting for him and poll violence, he forgets him. If only he had a sober mind, if only he didnt fall out with his insiders such as Miguna Miguna. His politics have lost value and all this separate factions if he aint careful will gang against him and that is his official demise. Also consider ODM has the one face clout with exit of Musalia. Just my analysis....not a fan of politics anyway
 
EMT

Sishangai kuunda chama kipya.......ni kawaida kwa siasa za Kenya.............Kinacho-matter kwa siasa zao ni namna gani unaweza kuungana na wenzako wa makabila mengine makubwa ili kujihakikishia kura nyingi......

Sitashangaa kesho akihamia chama kingine na kukiacha cha kwake

Raila Odinga alikuwa FORD (Chama alichokianzisha baba yake Oginga odinga) baadaye NDP,KANU,LDP sasa ODM
Uhuru Kenyata - KANU (Chama alichanzisha baba yake na nguli wengine) baadaye PNU sasa TNA

Mwai Kibaki alikuwa KANU baadaye akaunda DP...kabla yeye na wenzake kuanzisha NAK......Leo ana PNU

Daniel Arap Moi naye alikuwa na chama chake KADU baadaye akajiunga na Kenyata KANU, akapata umakamu wa rais....
Na orodha inaendelea...................!!
 
Last edited by a moderator:
odinga deserves it.

The only person who deserves to be president is whoever gets the most votes from the wananchi. This entitlement mentality of saying someone deserves it or it is someone's turn is now out of touch with reality. Let him run for the presidency and when he wins fair and square we can say he deserved it.
 
Na leo kapoteza rufaa yake kule the HAGUE........hakuna kugombea Urais wala nini....JELA tu inamsubiri
 
Hizo ndio sasa za Kenya...vurugu tupu,lazima uvutwe makende au uvute mtu makende ndio ushinde!
 
Kila ukinywa maziwa ya brookside yaliyojaa kwenye supermarket na maduka yetu jua unamchangia huyu muuaji, kwa wasiofahamu huyu jamaa ndio alikua aki sponsor mungiki ktk ile kampeni ya kukata watu vichwa na kwenda kumuonyesha odinga hadi akakubali matokeo ya uchaguzi, sinywi brookside tena ndio mmiliki wa ile kampuni na familia yao! wanafanya hivi ili kuvuruga odinga asiwe rais kwani atawashughulikia wakikuyu kwa mauaji yale na mengine ya nyuma!
 
All in all, I like Kenya politics watu wanapeana makavu live hakuna kuogopana.
 
Back
Top Bottom