Mengi yakupotosha yamesemwa na naonelea ni vema tu nieleze umati kuhusu hatua kenya imepiga AM katika demokrasia na usajili na uendeshaji wa mfumo wa vyama vingi. Nchi hii ndio ya pekee imeweza kutoa wagombea urais zaidi ya kumi na tano wote na manifesto yao na wamepaa vyeti vya kugombea.
Naombeni niulize hizi pesa jamaa kazitoa wapi?
Naombeni niulize hizi pesa jamaa kazitoa wapi?
Kabaridi,AB-TITCHAZ,
Ninyi ndio yaonekana mulikaliwa chapati...Kumbuka home is best. Uhuru kazaliwa kwa nyumba ya Kenyatta, unatarajia akaishi wapi? Hii naona tu ni kawaida. Mali aliouruthi ni yake kutoka kwa baba. Ni wengi wezi hata sasa kwenye serikali ya sasa hivi ukizingatia kama NHIF na taarifa tunazopata. Hakuna yeyote ata awe nani atakayekosa kuchovya atakapowekwa kwenye urais. Hata hawa wanaobweka zaidi kutaka kuingia na kuleta ukombozi wote ni sawa tu na sarakasi zao zinafanana.
Vipi, KANU?
Kabaridi,
heshima kwako natanguliza nikidhani umzima popote ulipo.
Kisha sasa hebu tuongee ukweli kuhusu mali ya huyu ba'mdogo. Ni wazi kua babake alikua
mwizi mkubwa wa hali na mali...sio siri tena hio. Leo hii mwanae kachukua urithi wa mashamba
ya babake lakini kinachonishangaza ni kwamba jamaa has not even offered some of those
chunks of land for the IDPs to settle in....Simply a goodwill gesture by a person trying to
become President of KE. Yaani his handlers cant even tell him to do this or does Mama Ngina
still have a strangle hold on these assets?
Kisha you opine very recklessly (excuse me for using this word) that..."Hakuna yeyote ata awe nani atakayekosa
kuchovya atakapowekwa kwenye urais." Seriously unaeza ukasema maneno kama haya in the light of
chapter 6 of the new katiba? Are you trying to say that its okay to pillage and plunder natural resources simply
coz the other guy did it?...Thats the part I'm not gettting! There has to be a clean break from the past and this
is KE's best opportunity to break away from it.... and please don't let that chance slip away because of political
correctness.
The saga involving NHIF and many others should be taken care of ASAP in the light of the 'reformed judiciary' or is the
DPP waiting for instructions from above before making a move?
oh by the way, is this fella going to conform to the requirements of the ICC proceedings ama anampango wa
kando kuhepa mashtaka?
Ab-Titchaz