Uhuru Kenyatta asubiriwa kwenye mdahalo wa urais Kenya

Jorochere

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
1,000
2,000
Ndugu zangu bila kuzunguka ni kwamba mdahalo umeanza saa 11 Leo jioni.
Wagombea binafsi wa 3 wameshachuana ila wababe wa jubilee (UHURU ) na NASA (RAILA) walitakiwa kuanza saa 2 usiku huu.Cha kushangaza Raila ashafika muda mrefu ila UHURU Bado hajafika na haijulikani yuko wapi?

Je asipofika itakuwaje,,,,,?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poise

JF-Expert Member
May 31, 2016
7,578
2,000
Mhe. Waziri wetu mpendwa, Dr. Augustine Mahiga, amesema kuwa Tanzania hatuhitaji kuzungumzia siasa za Kenya na hatutajihusisha nazo.

Btw, wakenya ni vilaza sana hasa hiyo kambi ya Uhuru wanamuogopa Raila Odinga.

Sasa, wameongeza mipaka ya uoga wao kuja hadi kwa Rais wetu Dr. Magufuli!!
 
General mex

Senior Member
May 1, 2011
157
250
Unajua siasa zikifanywa na watu wanaoelewa zinakua nzuri sana. Mimi sio mkenya ila kwa haraka haraka tuu nikiangalia uongozi wa Uhuru Kenyatta na kazi alizofanya, sisiti kutamka kwamba jamaa amezaliwa kuongoza na baba yake alimlea aje kuongoza. Haihitaji kujua kusoma kuona maendeleo makubwa yaliyotokea kenya. Cha muhimu wakenya wachangamane waachane na ukabila watafika ilipo china ndani ya karne moja tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kilambalambila

JF-Expert Member
Nov 16, 2013
8,897

Weka mifano ya hayo aliyofanya acha mahaba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sir John Roberts

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
2,610
2,000
smh!!.....theresa may didnt show up for Englands Debate .....pili MK254 ni pro Uhuru Sioni haja ya Kumtag ....Tatu....kumbe Tanzania mnawatch TV ya Kenya .....hapa no one does at all....we didnt even realise there was a trade war

Sent using Jamii Forums mobile app
Niko LiVE hapa Citizen namuangalia Odinga anavyowahutubia wakenya

Kama hutaki kusemwa hamia Somalia
 
Jambazi

JF-Expert Member
Jan 18, 2014
16,587
2,000
Unajua siasa zikifanywa na watu wanaoelewa zinakua nzuri sana. Mimi sio mkenya ila kwa haraka haraka tuu nikiangalia uongozi wa Uhuru Kenyatta na kazi alizofanya, sisiti kutamka kwamba jamaa amezaliwa kuongoza na baba yake alimlea aje kuongoza. Haihitaji kujua kusoma kuona maendeleo makubwa yaliyotokea kenya. Cha muhimu wakenya wachangamane waachane na ukabila watafika ilipo china ndani ya karne moja tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uhuru akifanikiwa kuondoa rushwa, Uhuru ni kiongozi mzuri sana

Kingine kinacho waumiza vichwa ni Al shabab
 
Spenzia

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
497
250
Huu mdahalo ni wa kipuzi sana, kama wangetaka kupata kiongozi bora wangewatenga wagombea wengine kama akina dinda na wengineo, ndio maana wengine wamechukuli usio kua na maana hadi kukosa kwao kuasiri
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom