Ramadhan Rajabu
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 578
- 1,105
Huyo babu anapoteza muda tu.... Kipara hawezi muokoa kwa kumpa pesa zetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
I want to know Why President Uhuru did nt show up?
Kama hutaki kusemwa hamia Somalia
Fala wewe nenda kambie shoga zako hukomuoga huyu ameshajua baba gonna kick him out.
Kama hutaki kusemwa hamia Somalia
Haaaha utafany amie Somalia kwelimuoga huyu ameshajua baba gonna kick him out.
Kama hutaki kusemwa hamia Somalia
Sisi ndio tunamamuzi ya mwisho tunajua wabaya wetu na wazuri wetuHuyo babu anapoteza muda tu.... Kipara hawezi muokoa kwa kumpa pesa zetu
Sent using Jamii Forums mobile app
umeumia eeh. Uhuru kashindwa kuisaidia kenya. acha Raila awaokoe wakenya. wamechoshwa na rushwa na ufisadi kwenye serikali ya jubileeFala wewe nenda kambie shoga zako huko
Mungu ameshapanga huyu awe Rais wa Kenya . ana "dongo" zuriHivi Raila anakula nini?Miaka 72 ila anavyoonekana utafikiri ana miaka 40
Anaogopa nini kuhojiwa na wakenya? anataka uongozi halafu anaogopa? This is too weak.
Kama utampigia kura sawa atakua rais, nyinyi ndio mnaoneka kwenye mikutano mumejaza viwanja na saa hio hamna kuraMungu ameshapanga huyu awe Rais wa Kenya . ana "dongo" zuri
Kama hutaki kusemwa hamia Somalia
I will actually vote for him.Yes I will vote for him here in TanzaniaKama utampigia kura sawa atakua rais, nyinyi ndio mnaoneka kwenye mikutano mumejaza viwanja na saa hio hamna kura
Alipoteza viti vya kutosha..mbibi Maysmh!!.....theresa may didnt show up for Englands Debate .....pili MK254 ni pro Uhuru Sioni haja ya Kumtag ....Tatu....kumbe Tanzania mnawatch TV ya Kenya .....hapa no one does at all....we didnt even realise there was a trade war
Sent using Jamii Forums mobile app
Uhuru is watching the up coming President of The Republic of Kenya for the last time before he park his luggage's and leave the state house.I am watching KTN, Odinga look drunk / a bit high, his speech is slow and he lack charisma. He need to up his game few notch, sober up a little bit and try to look more presidential if he want to win election.