Uhuru Kenyata sasa zamu ya kuvuna mabua imefika


Kijakazi

Kijakazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2007
Messages
3,546
Points
1,225
Kijakazi

Kijakazi

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2007
3,546 1,225
Raisi Uhuru Kenyata amekuwa akicheka na Nyani muda woote tangu ameingia Madarakani, na sasa wamekula (nyani) mahindi yote Shambani na msimu wa Mavuno umefika au unakaribia na atavuna Mabua!

Nakushauri bado haujachelewa kabisa fanya yafuatayo,weka Raila Odinga ndani mara moja na ikiwezekana fumba macho mara moja... pili tangaza Hali ya Hatari na anza kusaka hao panya Nyumba kwa Nyumba, achana na mambo ya Demokrasia, kumbuka hata Mama wa Demokrasia ya leo Marekani hali ikizidi hufanya hivi, wakati wa Vita kuu ya pili ya Dunia Marekani ilikamata raia wake wote wenye asili ya Ujapani na kuwaweka kizuizini na wengine kuwaua hivyo kama Marekani alifanya basi inawezekana...

Hiyo ndio Salama yako, ukipuuza huu Ushauri nakuhakikishia Watakutoa Madarakani nawatakao ingia hawatakuonea huruma na watakufanyia haya ninayaokushauri, watakuweka ndani, watakutaifishia Mali zako wewe na watu wako!

 

Forum statistics

Threads 1,283,909
Members 493,869
Posts 30,805,732
Top