Uhuru katika Mahusiano?

KWELI kabisa yaani...unaweza piga TU simu ulalamike mi naona hunipendi..Basi unabembelezwa...
Huyu yeye anasema Kama umepiga Simu kulalamika KATA TU SIMU...

Naona hapa nijiongeze tu
Pole Sana jiongeze tu
 
Piga kimya hakuna mpenzi hapa ila ugwadu ukimzidi ndiyo anakutafuta.
Mtu kutaka Uhuru katika Mahusiano maana Yake Nini?.
Kumpigia mpnz wako simu 3 times in a span of 5 hours nazo hajapokea Ni kumnyima Uhuru?..

Kuwa katika Mahusiano na kuishi Kama haupo katika Mahusiano ndo Uhuru?

Kwakweli nishaurini sielewi
 

Naelewa sana unachokiongea. Hapo changamoto mmekutana watu wawili tofauti na mwenza wako hayuko tayari kubadilika na kuendana na wewe.
Mnapokua kwenye mahusiano inatakiwa kila mtu awe tayari kubadilika kwa ajili ya mwenzake. Kujitoa kumfurahisha mwenza wako kwa vitu ambavyo vya muhimu kwake hata kama sio kipaumbele kwako. Hakuna mapenzi bila "sacrifice" lazima wote muwe tayari kusjitoa kwa mwenzake.
Kupigiana simu kila baada ya muda ni mapenzi nayo, ni dalili mtu unapendwa na mwenza wako anakufikiria. Kwa wengine wanaweza kuona ni dalili ya kubanwa ila sivyo.

Ushauri: Muite sehem kaa naye chini na mueleze kinagaubaga. Kama kweli anakupenda atabadilika kwa ajili yako.
 
Mtu kutaka Uhuru katika Mahusiano maana Yake Nini?.
Kumpigia mpnz wako simu 3 times in a span of 5 hours nazo hajapokea Ni kumnyima Uhuru?..

Kuwa katika Mahusiano na kuishi Kama haupo katika Mahusiano ndo Uhuru?

Kwakweli nishaurini sielewi
Jiongeze, humvutii sepa haraka.
Mapenzi ni sumaku, ukiona mwenzio anahisi usumbufu kumpigia ujue huna nafasi kwake tena.
 
wengine tupo hivyo...sio watu wa chit chat
Eniwei kipochi manyoya ushampa?
 

Nyie hamuendani tafuta wa kuendana nae. Pole sana maana naona wazi kabisa anataka ujiongeze
 
Dear, hakuna mapenzi hapo.
 
Kama unampenda kwa dhati ni vyema uvumilie na mapungufu yake.inawezekana ktk kazi zake kuna mtifuano uliomvuruga ila hajui au anashindwa kukuambia. Kama ww unaamini kua yy ndio chaguo lako. Basi vumilia akishatulia atakutafuta kisha unaweza kumuuliza maswali yako na ukampa was wasi yako
 
Hii kitu hata mimi nafanyaa na sijui nilianza vipi lakini sipendi mtu anaepiga simu mara nyingi au text nyingii ni mvivu kutumia simu.Text naweza kusoma kama ishu sio ya muhimu sijibu naendelea na kazi zangu hapa wengi nimeachana nao sasa na mimi ndo kasoro yangu eti mtu hawezi kuvumilia basi naonaga isiwe shida kila mtu achukue time yaan ata hujanifumania unataka tuachane nakubembelezaje hapo.
 
Labda nisubirie yeye anitafute... Maana Mimi nishajiona SMS NA SIMU zangu Ni kero kwake.
Sasa hayo Mapenzi ya kukaa ukisubirie mtu ajisikie kukutafuta Hayo Sio mapenzi
 
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44].....Hujakutana na mtu unampenda kwa dhati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…