Uhuru FM imechoka hadi ofisini.

usifanye mchezo na chama cha magambaz
 
Hiyo ni normal wear & tear jamani. Kumbukeni hiko ni kiti si urembo, and as long as mhusika anaweza kukaa comfortably, basi tunaweza kusema kazi ya hicho kiti imekamilika. Punguzeni ushabiki wa kijinga.

Si kweli ni fulia mbaya.
 
NAPE hapo sijui alikuwa anawadanganya nini maana huyu dogo kwa fix ni hatari sana
 

Mkenya wapi wewe...huyu mtanzania anakaa hapo kwa mtogole...sijui nani kamwambia kujiita mkenya ndio sifa,ukisoma kiswahili chake anachoandika,utakubaliana na mimi moja kwa moja
 
Kwisa kasi!

Hizo ndo miscalculation kwenye investment . Ni sawa na wale wanaowadanya Chadema kuanzisha TV, Radio au hata gazeti la Chama. Chadem wasiingie kwenye mtego huu wa kujidanganya kuanzisha TV , radio au hata gazeti lao.

Ni over head cost za kijinga kwa chama Siasa kuanzisha chombo chake cha habari. Mwisho wa siku kuna wengine nao watafkiria sababu wana vyombo vya habari basi waanzishe vyama vya siasa.
 
kijana yeyote ukimkuta anahold ccm mayowe basi ni mhongwa teyar but anakua na ukwel rohon mwake,like or nt fisadi wewe unaebisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…