UHURU: CHADEMA yapasuka

Ngoromiko means shetani, ibilisi lusifa, belzebuli.... Nakushauri acha mambo ya CDM yalivyo ujue yeyote anaye wahuzunisha wana wa nchi kwa habari za kutunga ili kuibeba ccm laana haitamwacha. Acha kabisa.
 
Kutofatiana ndio kunajenga chama.Hamuwezi kuwa na mawazo ya aina moja wakati wote labda kama ni punguani.
PEOPLES..................
 
Ngoromiko means shetani, ibilisi lusifa, belzebuli.... Nakushauri acha mambo ya CDM yalivyo ujue yeyote anaye wahuzunisha wana wa nchi kwa habari za kutunga ili kuibeba ccm laana haitamwacha. Acha kabisa.

Tanzania ni kubwa, makabila zaidi ya 125, lugha na tamaduni tofauti. Kama ambavyo kwetu neno MB@R@ ni tusi, nasikia huko kaskazini ni jina la mangi fulani. Hivyo hivyo kama Ngoromiko kwenu ni shetani/ibilisi bla bla, huku kwetu ina maana tofauti sana.
 
Una maana NIPASHE ni waongo?
magazeti ya udaku hayo hatutaki habari zake juku jf,hao ndo walisema wamemwona kanumba yuko hai,Ngoromiko wewe unatokeaje ukaamini hizi habari,juzi walitoa picha ya ajali morogoro wakasema ni watu waliojeruhiwa zanzibar na uamsho.funguka mkuu
 
Kuamini au kutokuamini inategemea na kila mtu anavyoliona gazeti. Lakini ukisema huitaki NIPASHE hapa JF utakuwa hutendei haki jamvi. Wanajamvi wana vionjo tofauti, wengine tunapenda kusoma zote, ziwe za Tz Daima, Nipashe nk.

Ajabu magwanda wanapenda habari zenye waridi kwake tu, zinazosema ukweli mchungu huitwa 'uongo'.
 
Bangi ni nzuri ikitumiwa vizuri kama source of power/energy unapolkua na shughuli nzito ya kufanya ila hua mbaya unapoitumia kama umbea...........
 
Kuamini au kutokuamini inategemea na kila mtu anavyoliona gazeti. Lakini ukisema huitaki NIPASHE hapa JF utakuwa hutendei haki jamvi. Wanajamvi wana vionjo tofauti, wengine tunapenda kusoma zote, ziwe za Tz Daima, Nipashe nk.

Ajabu magwanda wanapenda habari zenye waridi kwake tu, zinazosema ukweli mchungu huitwa 'uongo'.
to hell with your nipashe ,if you cant convince confuse
 
Safi wangezichapa tuone ngumi kama Lema alivyotaka bungeni

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
ziara ya viongozi wa chama cha demokrasia na maendeleo (chadema), katika mikoa ya kanda ya kusini, imehitimishwa kwa viongozi wa juu wa chama hicho, mwenyekiti freeman mbowe na katibu mkuu, dk.
Willbroad slaa kutofautiana.

Hali hiyo ilisababisha msuguano mkali ndani ya kikao cha ndani cha tathmini kilichofanyika mjini ruangwa muda mfupi baada ya kumalizika kwa mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya shule ya msingi
likangara mjini hapa.

Kutibuana huko kulitokana na mbowe kukataa mpango wa dk. Slaa kutimua viongozi katika maeneo mbalimbali ambako ziara hiyo imefanyika wakiwemo viongozi karibu wote wa wilaya ruangwa mkoani lindi.

Kikao hicho kilichofanyika kwenye ukumbi wa chama cha walimu (cwt) wilayani ruangwa, ambapo mbowe alipinga hatua ya dk. Slaa kutaka baadhi ya viongozi akiwemo mwenyekiti wa wilaya abdallah mang'onyola na mlezi wa chama hicho wilayani hapa juma lichonyo ambaye awali alikuwa mwenyekiti wa mkoa wa chama hicho waachie madaraka.

Kikao hicho kilichoanza majira ya saa 2: 30 usiku hadi saa tano, kilifanyika baada ya kumalizika kwa mikutano ya hadhara katika maeneo mbalimbali na kupata mafanikio kidogo.

Habari za ndani za uhakika zinasema kuwa mahudhurio hafifu ya watu ndiyo yamemsukima dk. Slaa kuamuru kufukuzwa kwa baadhi ya viongozi hao akidai wamekisaliti chama hali iliyomfanya mbowe kupinga, akisema
mpango huo unasababisha chama kulegalega.

Kwa mujibu taarifa za uhakika mkutao huo ulilenga kufanya thathmini baada ya ziara ya viongozi wa chadema wilayani hapa kukosa watu wengi katika mikutano yao tofauti na matarajio yao hivyo kudai ni hujuma zinafanywa na
viongozi waliowatimua.

Chanzo: Nipashe
mimi nadhani hata kingenuka ni kwasababu za msingi.hao wote wanagombania kujenga cdm kuna ubaya gani?tusichotaka nii mabishano ya kipuuzi kama anayoendeleza shibuda na mawakala wake kama juliana shonza lakini misuguano mikali yenye lengo la kukisaidia chama kikue na kusonga mbele inakubalika popote duniani.
 
Ukweli unauma......leteni uongo kuwa wanaelewana ili siku kikiwaka tufariki kama MARLEY aliposikia mkutano jangwani akazidiwa na kufa
 
Mods tendeni haki.Hii habari haijatoka Nipashe.Source yake ni gazeti la uhuru na kuna thread ya Fmpiganaji inazungumzia habari za CDM.Huyu Ngoromiko achukuliwe hatua kwa kutoa skurceya uongo

Naunga mkono hoja 100 kwa 100 hii habari haipo NIPASHE MODS acheni kulegea mnasababisha JF inakuwa kijiwe cha porojo na mambo ya uongo!!
 
Hiyo Habari ipo kwenye Kongwe la chama!! Nayo utaiitaHabari? au Propaganda?
 
wakikubaliana tu kwa kila kitu basi mmoja wao atakuwa hafikiri! They should disagree so as to agree! They should agree to disagree!
 
Back
Top Bottom