Uhuru atampa wakati mgumu Lowassa 2020

Uhuru atampa wakati mgumu Lowassa 2020

Uhuru amekua mjanja kama kikwete kwenye michezo ya siasa.

Narudi kujiuliza ,hivi ni kwanini Mzee wetu huyu lowassa ,mioaka yoote akiokaa kwenye mambo ya kisiasa na bado michezo ya siasa inamsumbua kuielewa?

Makundi yote yanayomshawishi kwenye mambo ya siasa hayana nia nzuri na yeye,sanasana wanataka kula pesa zake tu.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujue wewe unatia shaka,hawa wawili ni yupi uliongea nae akakueleza Haya !.Lowasa alikueleza Uhuru atanipa wakati mgumu? Au Uhuru alikueleza nitampa Lowasa wakati mgumu ? Ccm kwa kuzusha,mnafukuzia uchampioni duniani !. Kauli zisizo na ubaya baina ya vyama,umekua ni mwiko kwa ccm.lazima tu kuwe na neno litakaloleta au kuashiria Shari,ili upande mmoja uonekane mbaya.Mungu kundi hili ulilijua tangu misingi ya dunia.weka maneno ya amani na kujenga,miyoyoni na vinywani mwao.wake akili ya kuimarisha umoja nchini na sio kugawa wananchi.asante kwakua unapendezwa na mema,najua hili umeshalitimiza katika jina la Yesu,Amen.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii taarifa umeichukia nini? Kwa vile nimeileta au Mwananchi wamechapisha?

Hatutaki tukosolewe ila tukosowe!!!

Tusikilize wote ili tijirekebishe. Haitasaidia ukichukia.
Hii habari ni kutoka gazeti la Mwananchi. Mwanalumumba kaizoa tu. Niliwaambia Mwananchi kuwa wamechoka pamoja na kuwa ni haki yao kuandika cho chote maana ndiyo kazi yao.

Huyu popoma ufipa_kinondoni hajielewi kama uchwara wake. Labda kasahau kuwa uchwara amejinasibu na Raila hadi aibu.

Uchwara kwa hii miaka miwili kajipambanua kwa chuki na matumizi mabaya ya raslimali za taifa. Anahujumu upinzani kwa namna ile ile ya hoja za kichina. Tuombe Mungu Lowasa awe boya kwa manufaa ya uchwara. Tunaoelewa kampeni za 2020 zilishaisha siku nyingi na hazitegemei nani atampigia nani kampeni. Uchambuzi wa kina unaonyesha kuwa uchaguzi was 2020 ni hati hati kwa sababu ya serikali kukabiliwa na utata wa kuendesha siasa baada ya kukanyaga katiba na sheria za nchi. Viwonder vinajengwa kwa kasi, nafasi zilizo wazi za kisiasa kwa sasa haijulikani zitajazwaje.

Kwa ujumla hoja zinazolenga nafsi ya mtu badala ya maono, matendo na mafanikio yake ni hoja za kipumbavu zisizo endelevu.
 
Hii taarifa umeichukia nini? Kwa vile nimeileta au Mwananchi wamechapisha?

Hatutaki tukosolewe ila tukosowe!!!

Tusikilize wote ili tijirekebishe. Haitasaidia ukichukia.
Naona huna majibu ya hoja zangu. Pole, tafuta hekima na busara kwenye mijadala.
 
Yaani wewe kujadili Lumumba ndo hoja au kihoja. Hivi wengine hamjielewi humu nini?

Gazeti limeandika nimeleta unataka ulete zako za kijiweni!!!
Naona huna majibu ya hoja zangu. Pole, tafuta hekima na busara kwenye mijadala.
 
Afadhali umekiri kuwa umetoa gazetini. Wewe na malumumba yote akiwemo magu ni kama fisi mnaozengea mkono wa mwanadamu udondoke.
 
Back
Top Bottom