ILAN RAMON
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,557
- 4,318
Habar wanajamvi !kama ilivoelezwa kesho tarehe28 /02/2016 ndio uchaguzi wa mayor wa jiji la daresalam hata hivo ccm yenye madiwani 74 imetambia kuishinda ukawa yenye madiwani 87 ila hali kuna tofauti ya kura13 ccm ikiwa imezidiwa.hata hivo integencia ya ukawa iko makini kuitia aibu chama cha wanyang'anyi (ccm) inayotamani nafasi ya u mayor ili kuficha ufisadi wa kutisha uliokuwa unafanyika jijini kwa miaka mingi