Uhuni mkubwa ktk uendeshaji shule binafsi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uhuni mkubwa ktk uendeshaji shule binafsi

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by wyclefmore, May 17, 2011.

 1. w

  wyclefmore Member

  #1
  May 17, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wana jf sijui kama mnafahamu shule nyingi za bibafsi na vyuo vya ualimu vinaendeshwa kihuni sana.haya ni matokeo ya utafiti wangu wa muda mrefu-.matokeo
  1.nyingi haziajiri walimu kwa mikataba,walimu wanafanya kazi kama vibarua anayetegemea mshahara wa mwisho wa mwezi tu.hapa ina maana muajiri anamuibia muajiriwa haki yake kama kiinua mgongo,makato ya mifuko ya hifadhi ya jamii.pia hapa muajiri anaiibia serikali kodi.ninachojiuliza kwanini tra hawaziwajibishi hizi shule-majibu nayopata ni eitha tra wanazimishwa kwa rushwa auwazembee hawawajibiki ipasavyo.shule za nzmnz hii zimezafaa sana jijini dsm zina majina na majengo mazuri ila ukifuatilia uendeshaji utagundua madudu haya.
  2.hizi shule zinaposajiliwa huwa zinafanya udanganyifu mkubwa ili zikidhi vigezo.mfano nyingine huwa zinaazima vifaa vya maabara kwa malipo ili kuwagereshea wakaguzi,pia huazima vyeti vya walimu.
  3.shule nyingine utakuta mkuu wa shule ndiyo huyi huyo meneneja na ndiyo huyo huyo mkurugenzi na muhasibu.hiyo ni kinyume kabisa na utaratibu wa wizara.
  4. Shule nyingine zinategemea wizi wa mitihani ili zifaulishe-siyo zote ila zipo ambazo zimebobea kwenye hili.
   
Loading...