Jana nilikuwa nafuatilia kipindi cha michezo cha clouds FM ambao walikuwa wanatoa updates za mechi ya Simba na ENTENTE!
Nilisikitishwa na namna watangazaji walivyokuwa wanashangilia Simba ilivyokuwa inafungwa.Nikajiuliza hivi inakuwaje Redio inayotangazia umma inakuwa na watngazaji wa aina ile !Hatuwawazii kuichukia Simba simba laini kama public entity wanatakiwa kuwa fare! Kilinichonishangaza na kuhoji ufahamu wao kuhusu mashidano hayo ni kutokuwa na habari kuwa simba ilikuwa nafasi kubwa ya kufunga bao moja na kusonga mbele na ndicho kilichotokea ....!ACHENI UJINGA WA KUTUKANA NA BAADAYE MANAIBIKA ......pUMBAVU SNA MNAKUWA KAMA HAMWAJUI SIMBA BANA
We usiwe kama hutumii akili ni wazi kama ulifatilia michezo extra walikejeli sana na kufurahia simba kufungwa na walifikia hatua kusema hata kabla ya mpira kuisha kuwa simba hawana cha kufanya, nakuanza kusema kufa kafa baba yako we nani usife. Bahati nzuri wote waliumbunga pumbavu zao. Acha ushabiki wa kijinga.Mkuu sidhani kama uko sahihi kuhusu hilo,jamaa walikuwa wanachambua tu kawaida,labda ushabiki umekuzidia,ikumbukwe pia kwa simba kusonga mbele wao wanafaidika kwa kampuni yao kusimamia michezo ya simba hapa dare salaam,hivyo hawawezi fanya hivyo period!
we mtu anaitwa mbwiga we huon huyo mtu sio mzima
wameaibika
hivi ukiipenda Simba, wakati huo huo Yanga, Azam, Polisi sasa utaenda uwanjani kufanya nini ? Kumbuka jamaa walimtuma mtangazaji Jeff ili kufanya coverage ya hiyo mechi !eti simba kama chupa ya chai.. ilikoingilia ndio inakotokea huyu mtu mbwiga ana mdomo mchafu sana.. shenz kbs