Uhitaji wako ni Fursa kwa Wengine

Uhitaji wako ni Fursa kwa Wengine

Tman900

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2017
Posts
969
Reaction score
3,065
Pale unapokua na uhitaji wa kitu, au huduma Fulani we ndo Fulsa kwa Wengine.
Ktk Maisha mambo ni mawili tu.

Jambo Lenye kutoa pesa mfukoni mwako, na jambo Lenye kuingiza pesa ktk mfumo wako.

Leo J2 Kumbuka wewe ni Fursa kwa Wengine.
 
Kama lengo lako ilikua useme fursa basi uko sawa ila kama ni FULSA mmh!!
 
Back
Top Bottom