miamiatz
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 504
- 927
Habari wakuu,
Wote tunajua kuwa mambo ya kutumiwa news na mambo nyeti kwa whatsapp ni jambo muhimu sana badala ya zile email newsletters zilizozoeleka. Watu wengi wanaitumia njia ya whatsapp groups na whatsapp broadcast kufikia lengo.
Ila njia hizi ni too mannual ikimaanisha lazima uwasevu watu kwa simu yako, ucreate list then ukicreate content kwa blog ama popote ukopy url ama shortnote uipaste utume.
Pia tunajua groups zina limit ya 256 participants kama sikosei. Kwa mtu anaetaka kutuma kwa watu 10,000 ama zaidi kwa siku inakuwa ni kitengo kabosa cha kuajiri mtu.
Hivyo basi hii ni fursa adhimu ya kuandaa application inayomuwezesha mtumiaji kukusanya subscribers wa whatsapp newsletters, na messenger newsletters.
Application inafaa kuwa simple na inayoweza kutumia kwenye whatsapp newsletters, fb messenger newsletters, etc.
Mtumiaji anaweza kuwa mmiliki wa blog ama mmiliki wa website inayohitaji kutuma alerts kwa watu wengi kupitia whatsapp, fb messenger, etc.
Kuna wanaofanya hii biashara kwa nchi za ughaibuni ila kwa afrika mashariki bado sijaiona. Ni fursa angavu sana kwa huku afrika mashariki mana zile za kule nje ni ghali sana kiasi kwamba unakuta mtumiaji wa application analipia zaidi ya dola 1200 kwa mwezi.
We need something cheap inayomuwezesha mtu kutuma kwa watu wengi bila kutumia muda mwingi kufanya mannually.
App inafaa iwe na phonebook, iwe na whatsapp business api, etc ili kuweza kutumia feature ya whatsapp broadcast kwenye kusambaza newsletters.