A man with no name
JF-Expert Member
- May 7, 2017
- 1,131
- 1,598
Habari za muda huu wananzengo nakuja kwenu muda huu nikiwa na uhitaji wa pumba ya mahindi
Sifa za pumba
1= iwe imekauka yaani iwe kavu kabisa
2= iwe na chakula cha kutosha
3= iwe nyeupe isiwe brown au njano
Na kilo nitanunua kwa shilingi 200 na ofa yangu haitazidi 240
Kama kuna mwenye mzigo naomba anifahamishe na mahali mzigo ulipo nahitaji hata tani 30 kama zitapatina
Karibuni wanajamvi