Uhitaji wa Mbegu za Mzabibu

Uhitaji wa Mbegu za Mzabibu

suley02

Senior Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
107
Reaction score
62
Nipo Dar, wapi nitapata mbegu za mizabibu? Nataka kupanda nyumbani kwangu as a garden. Kama naweza kupata kwako naomba unitafute. 0658103810.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo inabidi uwatafute wataalam wa kilimo wakuelekeze aina ya udongo zabibu inapokubali pia na hali ya hewa e.g joto,Mvua .
IMG_20170906_144545_736.jpg

Hapo ni matumbulu Dom. Hiyo zabibu haijawahi kumwagiliwa zaidi ya mvua. Zabibu inachagua Sana udongo. Itaota ila haitazaa vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu vipi kwa Mbeya,Iringa na Songea zabibu huwa inakubari?

-Ndumilakuwili-
Sina uhakika Mkuu. Ila ukitaka kulima kibiashara ni vizuri ufanyie Dom maana.hapa hapa Dom kuna zabibu ambazo hazipendelewi Sana kutokana na maeneo inapolimwa. Ukipata muda ukiwa Dom no vizuri utembelee kwa Pinda ana ekari kumi Zach Aina tofauti tofauti Za zabibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbeya labda mbarali na ileje...

Formula ya zabibu ni inahitaji jua sana kuliko maji,kwahiyo maeneo yenye mvua si rafiki wa zabibu
Chunyw pia nahisi zimaweza kukubali sana.
 
Huyu jamaa anahitaji kupanda zabibu kama maua siyo zabibu itoe matunda

Anataka urembo tu

Kama urembo utafanikiwa lakin si kupata matunda
 
Back
Top Bottom