walitola
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 4,796
- 5,520
Habari wandugu, mimi naishi maeneo ya mbezi mwisho, naitaji mtu wa kunirudishia kodi hili nimwachie chumba na sebule ila choo nje. Sababu ya kuama nimeamishwa kazi sasa kutoka home mpaka kazini ni mbali sana kiasi kinachopelekea kuchelewa kazini na kuongezeka gharama kubwa sana.
Kama kuna mtu atakuwa yupo tayali au mtu yoyote ambae anataka chumba maeneo ya mbezi naomba umtaarifu tafazali, kuhusu maji na umeme hakuna usumbufu.
Kama kuna mtu atakuwa yupo tayali au mtu yoyote ambae anataka chumba maeneo ya mbezi naomba umtaarifu tafazali, kuhusu maji na umeme hakuna usumbufu.