Nimerudi tena baada ya kutafuta ajira bila mafanikio . Mimi ni binti wa miaka 24 nimemaliza chuo kikuu mwaka huu nina uhitaji mkubwa sana wa ajira au sehemu ya kujishikiza hata ya kujitolea nitashukuru .
Maelezo hayajitoshelezi,umesoma Level gani? Diploma/degree? Kozi gani? Nje ya professional yako kazi gani nyingine unaweza kufanya? Mawasiliano? Mahali ulipo?
Halllooo
Ni heri wanawake tuwaache wasaidiwe na wanawake
Takwimu zinaonyesha kuwa wanaume 90 kati ya 100 waliowasaidia wanawake walijutia msaada wao mbele ya safari.