UHITAJI: Taa za Starlet

UHITAJI: Taa za Starlet

Mentor

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2008
Posts
20,334
Reaction score
23,945
Salaam wakuu,
Ama baada ya salaam naomba kama kuna mwenye kujua wapi nitapata taa za nyuma (hasa taa ya kushoto) za gari aina ya Starlet anijuze na bei kama inawezekana.

Taa ni zile za ndizi zinaitwa. Natanguliza shukrani.

Picha imeambatanishwa.

NB: To be specific namaanisha hiyo cover.
20180821_220342.jpg
20180822_082907.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpwa Habari za siku nyingi Sana!? Hebu fanya hivi, Ukienda Mabibo pale Mahakama ya Ndizi kuna mahali wanachinja magari, uwezekano wa kuipata ni mkubwa au Nenda Tandale au Tabata Dampo utapata used nzuri. Barikiwa

Shukrani sana mpwa. Tusingizie majukumu kwa suala la ukimya.

Asante kwa muongozo wako nitafuatilia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom