Uharibifu wa Mazingira, ni kweli kuna mikakati ya kuihifadhi?????

mpingoo

New Member
Apr 27, 2016
2
0
Je Kuna ushahidi wowote unsoonyesha Kuwa jitihada za kuhifadhi mazingira zinaendana na kasi ya uharibifu wa mazingira?? NEMC inawekeza wapi nguvu- msituni au mjini viwandani??Je NEMC iinafuatilia mipango iliyomo ndani ya ENVIRONMENTAL IMPACTS ASSESSMENTS REPORTS- EIA???
 
Nemc ni hovyo kabisa, niliwahi kuwaarifu kuhusu uharibifu wa mazingira kwenye mto na bonde ambako sumu zinamwagwa nikawapa contacts za viongozi wa serikali ya mtaa ili wajiridhishe kupitia kwao kisha wachukue hatua dhidi ya waharibifu hao, wakanambia niwaandikie barua ya kulalamika niipost
Niliishiwa nguvu
 
Back
Top Bottom