Uhandsome wamponza

Uhandsome wamponza

Pwani
baba alijiua kwa kunywa sumu baada ya kugunduwa mwanaye anafanya na mkewe

Mwanza
baba alikuta mwanaye na mkewe wanatafunana ,akapiga mapanga akaua wote, habari zote ziko humu JF
 
Pwani
baba alijiua kwa kunywa sumu baada ya kugunduwa mwanaye anafanya na mkewe

Mwanza
baba alikuta mwanaye na mkewe wanatafunana ,akapiga mapanga akaua wote, habari zote ziko humu JF
Ila daaa inauma sana kwa kweli kwenye swala la utani umakini unahitajika sana
 
Uzungu ukishika sana nafasi katika familia ni shida. Si ajabu mama alikuwa anamsifia mara kwa mara mwanae kwamba ni handsome. Mtoto nako akazoea utani huo na dingi sio kwamba ni wivu hapana alitaka akomeshe hiyo tabia kwa namna hiyo. Ndiyo maana si kwetu kuna ktu kinaitwa igunya yaani sehemu ambako vijana wa kiume hukaa na huko ndiko mtapata chakula na kulala na kupiga story zenu zote. Sio huku watoto wa dar mama kavaa mini na mtto pensi mnakuwa kama mnaringishiana. Kwa mazoea ambayo mtoi ashazoea kuona mapaja ya mama yake hakuna shida kumwambia vipi kama ingekuwa kipindi hicho ingekuwaje. Mdingi hongera sana ingekuwa mimi ningevunja mguu kabisa.
 
wote mna makosa kwa kila stage...mdingi naye anatimiza kuwa hasira hasara..hakudhamiria kukutengua ilaimetokea nusu anasikitika nusu ana hasira ...so amuulize mke wake inakuwaje ana utani wa hivo namwanae...maana wamama nao sometime huaribu watoto wa kiume kwa mambo yao...mtoto naye kawekewa mazingira ya kusema hayo na mama yake...wote wana shida......mwisho wa siku ishatokea na inaongeza msuguano kati ya male waliopo mule...kumbuka wanaume aukiumbe chochote cha kiume huwahakiko comfrtable mbele ya kiumbe male mwenzake huwa siku zote ni kama competition..psychology hiyo tu
 
Back
Top Bottom