Uhamisho wa watumishi wa serikali now umekuwa mgumu

baba deokala

Member
Joined
Jun 12, 2021
Posts
11
Reaction score
12
Habari za muda wakuu , poleni na majukumu,

Nije kwenye point wakuu ivi nawezaje kuhama kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine ambako ndio home,, coz mm ni Mwalimu nipo MUFINDI IRINGA Kwa muda wa miaka 10+ mara kadhaa nimeangaika na swala la uhamisho Ili niende kwetu maana hapa sina mpango wa kuishi hivyo inaniwia vigumu kufanya uwekezaji

Ila swala la uhamisho limekuwa changamoto japokuwa taarifa zangu zipo TAMISEMI(zinazohusu kuhama) Ila naona siku zinaenda bila ishu yoyote naombeni msaada nitumie njia Gani Ili niweze kuhama huu mkoa?
 
Duniani tunapita, ishi popote wewe...wekeza popote fedha Haina masharti, au Salio dogo. Ukienda Dodoma utakuta kuna uwekezaji mkubwa sana unaendelea na wote wale sio kwao...wametoka mikoani kwenda kuwekeza makao makuu na wao hawaishi kule. Cheza na fursa tu ndugu yangu
 
Unachosema kiongozi ni sahihi Ila changamoto ni kwamba hapa nilipo sio Mahali ambapo nahitaji kufanya makaz ya kudumu (sitaishi hapa baada ya ku-retire)
 
Habari za muda wakuu , poleni na majukumu,

Nije kwenye point wakuu ivi nawezaje kuhama kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine ambako ndio home,, coz mm ni Mwalimu nipo MUFINDI IRINGA Kwa muda wa miaka 10+ mara kadhaa nimeangaika na swala la uhamisho Ili niende kwetu maana hapa sina mpango wa kuishi hivyo inaniwia vigumu kufanya uwekezaji

Ila swala la uhamisho limekuwa changamoto japokuwa taarifa zangu zipo TAMISEMI(zinazohusu kuhama) Ila naona siku zinaenda bila ishu yoyote naombeni msaada nitumie njia Gani Ili niweze kuhama huu mkoa?
Ess.utumishi.go.tz
 
Siku uki adjust akili yako mwalimu ukakubali kuwa unaishi Mufindi utaona maisha kwa mwanga tofauti sana. Najua akili na mawazo yako yanawaza kuhama kurudi kwenu tu ila amini nakwambia ukitulia utaona mazuri ya Mufindi alafu utakuwa na amani sana! Kwa sasa unaishi kwa tabu na kiutumwa sana kisaikolojia.

Wewe kubali unaishi Mufindi alafu wekeza uwezavyo. Kwani hata ukisataafu ukawa na vitega uchumi hapo Mufindi shida iko wapi mkuu

Kila mtu akisema ahamie kwao kikazi maisha yatakuwaje mwalimu?
 
Habari za muda wakuu , poleni na majukumu,

Nije kwenye point wakuu ivi nawezaje kuhama kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine ambako ndio home,, coz mm ni Mwalimu nipo MUFINDI IRINGA Kwa muda wa miaka 10+ mara kadhaa nimeangaika na swala la uhamisho Ili niende kwetu maana hapa sina mpango wa kuishi hivyo inaniwia vigumu kufanya uwekezaji

Ila swala la uhamisho limekuwa changamoto japokuwa taarifa zangu zipo TAMISEMI(zinazohusu kuhama) Ila naona siku zinaenda bila ishu yoyote naombeni msaada nitumie njia Gani Ili niweze kuhama huu mkoa?
Mkuu kumradhi kwa kutamka maneno haya ila ukweli ni kwamba elimu yako bado haijakukomboa.
Kila mtumishi akiwaza kufanyia kazi kwao umewaza kwamba hakutakuwa na uwiano sawa kwa idadi ya watumishi kwa kila mkoa.
Hii itapelekea mikoa fulani watumishi kurundikana na mingine kuwa na uhaba jambo ambalo halitakuwa na tija kwa Taifa.
Kwahiyo miaka 10+ uliyokuwa umeitumia kupambana kutafuta uhamisho na hizo fedha ulizotumia kuhonga ili uhame unhefanya uwekezaji hapo ulipo unaamini ungekuwa sawa na hapo ulipo sasa hivi?
Umewaza kurudi kwenu ili ukafanye nini? Hukumaliza kunyonya? Au unataka ukawavimbie wana kuwa na wewe upo kwenye payroll?
Unafikiria kwamba ukistaafu hautaishi hapo, sio jambo baya, ila piga mahesabu utakuwa mtumishi wa umma hadi utakapofika miaka 60 mbona unaweza kuwekeza hapo ulipo na baada ya kustaafu ukahamia kuishi popote unapotaka hata ikiwa nje ya nchi ukiwa na kibunda cha kueleweka tu.
 
Nimeongea Kwa uchache ndugu Wala sijatoka kuchimbua sana Kwa undani Kwa ufupi ni kwamba huko ninakotaka kwenda ndipo nilipo andaa makazi ya kudumu lakini pia Kwa mazingira niliyopo ni vigumu kujiendeleza kimafanikio (baadhi ya watumishi wanafahamu) hivyo natamani nitoke niende Mahali ambapo naweza kujipambanua.
 
Habari za muda wakuu , poleni na majukumu,

Nije kwenye point wakuu ivi nawezaje kuhama kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine ambako ndio home,, coz mm ni Mwalimu nipo MUFINDI IRINGA Kwa muda wa miaka 10+ mara kadhaa nimeangaika na swala la uhamisho Ili niende kwetu maana hapa sina mpango wa kuishi hivyo inaniwia vigumu kufanya uwekezaji

Ila swala la uhamisho limekuwa changamoto japokuwa taarifa zangu zipo TAMISEMI(zinazohusu kuhama) Ila naona siku zinaenda bila ishu yoyote naombeni msaada nitumie njia Gani Ili niweze kuhama huu mkoa?
Acha kazi ujiajiri.
 
Unachosema kiongozi ni sahihi Ila changamoto ni kwamba hapa nilipo sio Mahali ambapo nahitaji kufanya makaz ya kudumu (sitaishi hapa baada ya ku-retire)
Hapo sawa, pambania uhamisho tu
 
Back
Top Bottom