Uhamisho kwa watumishi wa umma 2017

Uhamisho kwa watumishi wa umma 2017

Sijakuelewa naomba ufafanuzi. Uhamisho una uhusiano gani na familia kusambaratika, wagonjwa kukosa huduma kutoka kwa watoto, maambukiz ya magonjwa kuongezeka?

Kama familia zimesambaratika ujue ni za kizazi cha dot.com, kama wagonjwa wamekosa huduma ujue ni visingizio siku hizi kuna MPESA, maambukizi ya magonjwa yapo hata kwa wanaoishi pamoja.
yaani wewe ni j.u.h.a kabisa. ndio maana hujaelelwa kwakua wewe ni j.u.h.a.
 
Funga domo lako bwana Mdogo...hujawahi umwa wewe and mshukuru sana mungu kama wewe in mzima
Sijakuelewa naomba ufafanuzi. Uhamisho una uhusiano gani na familia kusambaratika, wagonjwa kukosa huduma kutoka kwa watoto, maambukiz ya magonjwa kuongezeka?

Kama familia zimesambaratika ujue ni za kizazi cha dot.com, kama wagonjwa wamekosa huduma ujue ni visingizio siku hizi kuna MPESA, maambukizi ya magonjwa yapo hata kwa wanaoishi pamoja.
 
Movement ipo twitter kwa agela kairuki mhakiki, nendeni pale nanyie mtwit kuomba majibu
 
Back
Top Bottom