Uhamisho kutoka shule za private kwenda serikali

MAUBIG

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
1,038
854
Habari wanabodi,

Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, naomba kufahamu kama kuna utaratibu wa uhamisho kutoka shule binafsi kwenda shule za serikali, na kama upo taratibu hizo zafanyika wapi,


Thanks in advance
 
Back
Top Bottom