Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 22,753
- 27,476
hila,njama zitakuwa nyingi sana!
Hii ndo bongo mkuu, kuna baadhi ya watu wanaturudisha nyuma sana.
Tatzo kuna watu from within wachumia tumbo sanaaa. Wakishapewa hela ya soda wanakua vinyonga.
Yaani hawa walitakiwa KUCHAPWA viboko tu