mihadarati
JF-Expert Member
- Aug 27, 2013
- 268
- 74
Mgombea wa Saut Izack Kereti amelipwa sh 400000 na mgombea Ubunge wa CCM Devis Mosha ili amuekee pingamizi Jafari na lengo ilikuwa wamkate siku anarejesha fomj ya ubunge lakini ikashindikana huyu Devis licha ya kuweka mabango Mji mzima asubir tareh 25 ndo atajia wananchi wa moshi hawachezewi hata akin na hela zake za unga lazima
Atapigwa chink
Atapigwa chink