mpaka sasa hivi ni watanzania wangapi walishapata vitambulisho vya NIDA? NIDA wanachukua taarifa za watu wanakuonesha na sample ya ID kwenye computer halafu wanaondoka huwaoniNimesoma habari ya uvumbuzi wa passport mpya, kigezo cha kuweza kupata passport hio,lazima uwe na kitambulisho cha NIDA, sasa nauliza kwa walio kuwa wanaishi nje ya Tanzania wasio kuwa na kitambulisho cha NIDA, ni mashart yepi ya kupatiwa passport?
Jengine tunaomba uhamiaji wabadilishe mfumo wa uombaji maana kila tunapo badilisha passport, ni mfumo ule ule wa kuomba passport kama upya ihali uhamiaji wa documents zote za uombaji wa passport ya mwanzo.
Haya ndio ma suali ambayo tunayo jiuliza wana diaspora.
Shukran
Nimesoma habari ya uvumbuzi wa passport mpya, kigezo cha kuweza kupata passport hio,lazima uwe na kitambulisho cha NIDA, sasa nauliza kwa walio kuwa wanaishi nje ya Tanzania wasio kuwa na kitambulisho cha NIDA, ni mashart yepi ya kupatiwa passport?
Jengine tunaomba uhamiaji wabadilishe mfumo wa uombaji maana kila tunapo badilisha passport, ni mfumo ule ule wa kuomba passport kama upya ihali uhamiaji wa documents zote za uombaji wa passport ya mwanzo.
Haya ndio ma suali ambayo tunayo jiuliza wana diaspora.
Shukran
Mbona mimi nilifanya renew bila taratibu sumbufu?
Mkuu si umjibu tu! Kuna shida gani! Mbona Mi nipo hapa Argentina na sioni shida kusema!
Umeona mkuu
Huo ndio usumbufu wa ku renew passport, form ni zile zile za kuomba passport upya, mashahidi na wadhamini ni wale wale, passport yangu mpya tu miaka 2 tu..
Huoni kiswahili kinaanza kumtoka?[emoji13] [emoji13]Na Wewe uko Ulaya Mkuu?
2020Dead-line ya kubadilisha ni lini?
Ubalozini wanayo majibu yoteNimesoma habari ya uvumbuzi wa passport mpya, kigezo cha kuweza kupata passport hio,lazima uwe na kitambulisho cha NIDA, sasa nauliza kwa walio kuwa wanaishi nje ya Tanzania wasio kuwa na kitambulisho cha NIDA, ni mashart yepi ya kupatiwa passport?
Jengine tunaomba uhamiaji wabadilishe mfumo wa uombaji maana kila tunapo badilisha passport, ni mfumo ule ule wa kuomba passport kama upya ihali uhamiaji wa documents zote za uombaji wa passport ya mwanzo.
Haya ndio ma suali ambayo tunayo jiuliza wana diaspora.
Shukran
Utaratibu wa kupata vitambulisho sio mbovu, unaendeshwa hatua kwa hatua, ngazi kwa ngazi; ila ebu zingatia figure hii 23000 kwa kila kitambulisho kwa wananchi zaidi ya 20mWatu wengi tu tupo hapa Tanzania hatuna vitambulisho vya taifa, utaratibu wa kupata vitambulisho vya taifa ni mbovu
Hawataki kujaza server zao na docs zenu. Muhimu mjitunzie taarifa zenu ninyi wenyewe wao watazihakiki tu na kuthibitisha uraia wenu!!!Nilirenew passport before hii ya kisasa kuja. Nilijazishwa fomu kama vile sijawahi kuwa na passport. I am sure, information zangu za zamani walikuwa nazo kwenye system. Hapa ndio nnaposhindwa kuelewa kwanini mtu uanze kujaza upya.
Mimi yangu ina expire 2027 (nimerenew mwaka jana), kiuhalisia nikitaka kwenda kurenew, nawakabidhi yangu wananipatia nyingine, sio tena nianze kujaza mafomu wakati kila kitu kipo kwenye system.
sielewi hata mimi hili suala.Nilirenew passport before hii ya kisasa kuja. Nilijazishwa fomu kama vile sijawahi kuwa na passport. I am sure, information zangu za zamani walikuwa nazo kwenye system. Hapa ndio nnaposhindwa kuelewa kwanini mtu uanze kujaza upya.
Mimi yangu ina expire 2027 (nimerenew mwaka jana), kiuhalisia nikitaka kwenda kurenew, nawakabidhi yangu wananipatia nyingine, sio tena nianze kujaza mafomu wakati kila kitu kipo kwenye system.
EEExactly!!! hizi finger prints walikuwa wanatuchukua za kitu gani. Na vipi watajua kama huyu raia halali na huyu haramu? mi nataka nijue huo utaratibu waliojiandaa kuutumia ambao saivi na hichi kitabu hawawez kufanya.sielewi hata mimi hili suala.
Wanatuchukua fingerprints every now and then,why?ushahidi wote wanao lakini bado ukienda unaanza upya.
Nadhani tatizo haliko kwetu wateja,lipo kwao.
Unatumia mabilioni kwenye passport huku maji,umeme,elimu,afya vinatiisha huruma mmno,hospitali na shule zetu majengo ya hovyo pengine udongo,vifaa duni pengine hakuna lakini hatuoni ni ajabu na aibu. Kunamzungu aliingia wodi ya uzazi huku kwetu akatapika na kuanza kulia. Its a shame viongozi wetu wanavyojibaraguza kwenye mambo yasiyo ya msingi ili kutafuta sifa!! SHAME!!
Ndomana tunatukanwa na kudharauliwa na wenzetu