J Jeremy Bentham Senior Member Joined Apr 22, 2019 Posts 118 Reaction score 133 Aug 18, 2019 #141 Babumawe said: Wameshasema kabisa kwa intake ya kujitolea na wale waliopo kambini sasa kuna mijitu mingine ilienda sijui mwezi mmoja na nusu sijui miezi mitatu nayo inataka kwenda sasa nasemaje nyie nendeni tu Click to expand... acha uongo wako mbona mujibu wa sheria kibao tuu wamefanya usaili na wapo majeshi mbali mbali na wanakubalika
Babumawe said: Wameshasema kabisa kwa intake ya kujitolea na wale waliopo kambini sasa kuna mijitu mingine ilienda sijui mwezi mmoja na nusu sijui miezi mitatu nayo inataka kwenda sasa nasemaje nyie nendeni tu Click to expand... acha uongo wako mbona mujibu wa sheria kibao tuu wamefanya usaili na wapo majeshi mbali mbali na wanakubalika
Jstar1 JF-Expert Member Joined Aug 1, 2019 Posts 1,392 Reaction score 1,418 Aug 18, 2019 #142 si naskia walifukuzwa, kumbe tena walikubaliwa Jeremy Bentham said: acha uongo wako mbona mujibu wa sheria kibao tuu wamefanya usaili na wapo majeshi mbali mbali na wanakubalika Click to expand...
si naskia walifukuzwa, kumbe tena walikubaliwa Jeremy Bentham said: acha uongo wako mbona mujibu wa sheria kibao tuu wamefanya usaili na wapo majeshi mbali mbali na wanakubalika Click to expand...
elin Senior Member Joined Apr 15, 2015 Posts 122 Reaction score 95 Aug 20, 2019 #143 Jstar1 said: si naskia walifukuzwa, kumbe tena walikubaliwa Click to expand... Hawakuruhusiwa kufanya, aje shuhuda hapa aeleze walivyotolewa mkuku.
Jstar1 said: si naskia walifukuzwa, kumbe tena walikubaliwa Click to expand... Hawakuruhusiwa kufanya, aje shuhuda hapa aeleze walivyotolewa mkuku.