byeson
Member
- Jul 25, 2019
- 11
- 6
Idara ya uhamiaji yatangaza Fursa za ajira. Kuangalia sifa na maelezo zaidi pitia website ya www.jkt.go.tz..
Kuna link umepewa hapo mkuu ingia uangalie ni sifa zipi zinahitajikaVp kwa mtu aliyepitia JKT mujibu wa sheria
Tunavamia bogi tu mze akuna namna.Vp kwa mtu aliyepitia JKT mujibu wa sheria
Hahah tatizo wenzio wametumika vyakutosha Mkuu na wengine hadi home mamerudishwa wewe miezi 3 tu ukarudi kula bata home 😄😄😄 watake radhi boss.Haya masharti ya ulazima kuwa katika kundi la kujitolea yanatoka wapi? si bora iwe kwa yoyote aliyepita JKT tu
Hahah tatizo wenzio wametumika vyakutosha Mkuu na wengine hadi home mamerudishwa wewe miezi 3 tu ukarudi kula bata homewatake radhi boss.
Wataruhisiwa vipi wakati umeambiwa OP ya KIKWETE NA MAGU ndizo zinatakiwa.Kwa wale ambao hawakupita huko wataruhusiwa
Moja ya masharti yaoVp kwa mtu aliyepitia JKT mujibu wa sheria
UONGOIdara ya uhamiaji yatangaza Fursa za ajira. Kuangalia sifa na maelezo zaidi pitia website ya www.jkt.go.tz..
Kazi uhamiaji ajira zinatangazwa na JKT
Tunavamia bogi tu mze akuna namna.
Sifa uwe na mti unaitwa M-BUYUSifa wepesi
Doh Mtu kama wewe sikutegemea utoe comment kama hii bila hata kujiridhisha kwa kusoma ulichopost anyway labda umepitiwa.