ushauri wako Ni murua kabisa ila yote hayo yanamezwa Na mdudu rushwa. Tukubaliane kutokukubaliana ila rushwa pale uhamiaji Ni kubwa Sana Na Ni nje njeKijana naomba uwe makini na taarifa unayotoa kuhusu UHAMIAJI.
Uhamiaji sio idara ya kufanya mambo kwa kukurupuka. wanafanya kazi kwa uweledi wa hali ya juu.
Kwanza umesema umepoteza? hapo kuna changamoto na lazima uchunguzi ufanyike wa kina tofauti na hapo wao wanaweza kuwa hatiani.
Je utajuaje pasi yako inatumiwa na mtu mwingine kimakosa?
Na ddiyo maana sheria inasema untakiwa utangaze kwenye gazeti ya serikali ukiwa na RB, kisha ukae mda sio chini ya miezi 3 au 6 kubaini pengine imeokotwa.
Baada ya hapo utaandika Barua kwa mkono wako kwa kuomba Mkurugenzi wa Uhamiaji namna pasi yako ilivyopoatea na hatua ulizochukua pia pasipo kusahau kueleza sababu ya kuomba ya pili?
Kisha uwape uhamiaji mda wa kufanya uchunguzi wao wa kina.
Hivyo basi nikusihi uwe mvumilivu usipende kusema kuna Rushwa labda wewe ndio uhojiwe kwa nini utake kutoa rushwa, pengine unajua pasi yako ilipo.
Akhsante.
unasema wanafanya kaz kwa weledi? nyie dawa ipo jikon! kuna cku mtalia kusaga meno!Kijana naomba uwe makini na taarifa unayotoa kuhusu UHAMIAJI.
Uhamiaji sio idara ya kufanya mambo kwa kukurupuka. wanafanya kazi kwa uweledi wa hali ya juu.
Kwanza umesema umepoteza? hapo kuna changamoto na lazima uchunguzi ufanyike wa kina tofauti na hapo wao wanaweza kuwa hatiani.
Je utajuaje pasi yako inatumiwa na mtu mwingine kimakosa?
Na ddiyo maana sheria inasema untakiwa utangaze kwenye gazeti ya serikali ukiwa na RB, kisha ukae mda sio chini ya miezi 3 au 6 kubaini pengine imeokotwa.
Baada ya hapo utaandika Barua kwa mkono wako kwa kuomba Mkurugenzi wa Uhamiaji namna pasi yako ilivyopoatea na hatua ulizochukua pia pasipo kusahau kueleza sababu ya kuomba ya pili?
Kisha uwape uhamiaji mda wa kufanya uchunguzi wao wa kina.
Hivyo basi nikusihi uwe mvumilivu usipende kusema kuna Rushwa labda wewe ndio uhojiwe kwa nini utake kutoa rushwa, pengine unajua pasi yako ilipo.
Akhsante.
Kwanini Tanzania suala la passport linakua kero sana? Mimi nilidhani passport ni haki yangu na pia ni njia rahisi ya kutumika kama kitambulisho. Kuwa na passport si lazima nisafiri. Sijui lini hii idara itskua na watu wrnye weledi kuiboresha same kwa jeshi la polisi. Pale jeshi litakapotambua kuwa wao si maagent wa serikali na chama tawala bali wapo kwaajili kulinda usalama ws kila mtanzania na mtu yeyote aliyepo nchini awe kihalali ama kimagumashi. Haki inatakiwa kutendwa kwa yeyote yuleNi kweli rushwa ipo sana, nilishuhudia mama mmoja tarehe 12 February akihitaji passport ya kwenda matibabu nje alizungushwa sana mara aambiwe apeleke vielelezo mara vitambulisho, tukamshauri aombe kuonana na Mkurugenzi wa Uhamiaji, baada ya wale wahudumu kugundua kuwa yule mama yupo kwenye hiyo process ya kwenda kwa Mkurugenzi, wakampa pass in less than one hour kitu kilichoashiria kuwa walikuwa wameprint tayari isipokuwa hawakutaka kumpa, mwingine alikuwa anasafiriri kwenda Nordic countries, tena huyu alikuwa anarenew naye wakamwambia ataiapta kesho yake, alipokwenda kwa boss wao akaambiwa asubiri passport apewe siku hiyohoyo na akapewa.
Mchezo wa rushwa unachezwa na wale maofisa waliopo kwenye yale madirisha siyo viongozi, nilichojifunza ni kuwa ukipata nafasi ya kuonana na viongozi ukawaambia shida yako wakakuelewa basi hutoi hata senti moja
ushauri wako Ni murua kabisa ila yote hayo yanamezwa Na mdudu rushwa. Tukubaliane kutokukubaliana ila rushwa pale uhamiaji Ni kubwa Sana Na Ni nje nje
Uhamiaji kama una haraka na pass toa pesa uipate haraka. Ni mbaya saana ila ukijitia unasubiri wakutendee haki hawa watumishi wetuNaam rushwa uhamiaji nje nje na hii siyo siri.
Polisi na chama tawala haviwezi tenganishwa kama ilivyo spinal cord na brainKwanini Tanzania suala la passport linakua kero sana? Mimi nilidhani passport ni haki yangu na pia ni njia rahisi ya kutumika kama kitambulisho. Kuwa na passport si lazima nisafiri. Sijui lini hii idara itskua na watu wrnye weledi kuiboresha same kwa jeshi la polisi. Pale jeshi litakapotambua kuwa wao si maagent wa serikali na chama tawala bali wapo kwaajili kulinda usalama ws kila mtanzania na mtu yeyote aliyepo nchini awe kihalali ama kimagumashi. Haki inatakiwa kutendwa kwa yeyote yule
Wana ubavu wa kumchunguza Majaliwa?Polisi na chama tawala haviwezi tenganishwa kama ilivyo spinal cord na brain
Sawa kabisa. Anzisha hiyo mada nasi tutaijadili. Lakini kwa sasa tunaendelea kuijadili hii inayohusiana na matatizo yanayojitokeza pindi mtu anapofuatilia pasi yake ya kusafiria nje ya nchi.Bora hii mada inayojadiliwa inekuwa hivi- KWA NINI NSSF HAWATOI MAFAO YA WATU WALIOFUKUZWA KAZI BILA YA WAO KUJIFUKUZISHA KAZI KWA KUANDIKA BARUA YA KUOMBA KAZI.
je hamjaona wengi wanavyoteseka NSSF kudai hela ambazo ndio haki yao utafikiri walizikopesha?
Hapana,passport haitakiwi kutumika kama kitambulisho ndani ya nchi.Kwanini Tanzania suala la passport linakua kero sana? Mimi nilidhani passport ni haki yangu na pia ni njia rahisi ya kutumika kama kitambulisho. Kuwa na passport si lazima nisafiri. Sijui lini hii idara itskua na watu wrnye weledi kuiboresha same kwa jeshi la polisi. Pale jeshi litakapotambua kuwa wao si maagent wa serikali na chama tawala bali wapo kwaajili kulinda usalama ws kila mtanzania na mtu yeyote aliyepo nchini awe kihalali ama kimagumashi. Haki inatakiwa kutendwa kwa yeyote yule