Uhamiaji Wametoa Nafasi Za Kazi

Uhamiaji Wametoa Nafasi Za Kazi

Idara ya uhamiaji imetangaza nafasi kibao za kazi

Afisi uhamiaji nafasi 70

Koplo wa uhamiaji nafasi 100

Konstebo wa uhamiaji nafasi 100

Deadline 27

Source: gazeti la mwananchi la leo, mtanzania na website ya wizara ya mambo ya ndani

Kazi ni kwenu

MIMI MGONJWA SIWEZI DEPO

VALENTINE DAY NJEMA

Acha uoga jamaa!!! Unapambana kiume tu
 
Pia UDom wanetoa nafasi za kazi. Jaribuni Bahati zenu ambao bado
 
tuliokuwa na family tuna nafasi kweli wadau?
 
Kamishna Mkuu wa idara ya Uhamiaji anatangaza
nafasi za kazi katika Idara ya Uhamiaji kwenye
vyeo vya Koplo na Konstebo wa uhamiaji.
A: MKAGUZI MSAIDIZI WA UHAMIAJI NAFASI 70
1. SIFAZINAZOHITAJIKA
Awe na shahada ya kwanza au Stashahada ya juu
kutooka vyuo vikuu vinavyotambuliwa na serikali
katika fani zifuatazo; Sheria, Uchumi, Biashara,
Utawala, Uandishi wa habari, Ualimu, Usafirishaji,
Rasilimali watu, Sayansi ya kompyuta, Teknolojia ya
mawasiliano, Takwimu, Uchapaji, Uhandisi majengo na
Uhandisi Mitambo.
Awe na umri usiozidi miaka 35
2. MAJUKUMU NA KAZI ZA KUFANYA
(i) Kusimamia doria sehemu za mipakani, Bandarini,
Vituo vya Mabasi, Treni na sehemu zenye vipenyo vya
kuingia na kutoka nchini vikiwemo vya majini.
(ii) Kusimamia shughuli za upelelezi, kuandaa hati ya
mashitaka na kuendesha mashitaka.
(iii) Kutoa na kupokea fomu mbali mbali za maombi ya
hati za uhamiaji
(iv) kufanya ukaguzi wa mwanzo wa maombi
mbalimbali
(v) kupokea na kukagua hati za safari, fomu ya kuingia
na kutoka nchini.
(vi) kuidhinisha malipo mbalimbali ya huduma za
uhamiaji kwa wanaostahili
(vii) kuagiza ufunguaji wa majalada ya watumiaji
(viii) kutunza kumbukumbu za ruhusa kwa wanaongia
na kutoka nchini
(ix) kukusanya, kusimamia na kutunza takwimu za
uhamiaji na uraia
(x) Kuandaa majibu ya maombi yote ya huduma za
uhamiaji yaliyokubaliwa au kukataliwa
B. KOPLO WA UHAMIAJI (NAFASI 100)
1. SIFA ZINAZOHITAJIKA
(i) Awe amehitimu Kidato cha Sita na kufaulu
(ii) Awe na umri usiozidi miaka 30
C. KONSTEBO WA UHAMIAJI (NAFASI 100)
1. SIFA ZINAZOHITAJIKA
(i) Awe amehitimu kidato cha nne na kufaulu
(ii) Awe na umri usiozidi miaka 25
D. SIFA ZA ZIADA: KOPLO/KONSTEBO WA UHAMIAJI
(i) Cheti cha ufundi stadi (Full Technical Certificate)
kwenye fani ya umeme na mitambo.
(iii) Cheti au Stashahada ya Uhazili (Certificate or
Diploma in Secretarial Studies)
katika chuo kinachotambulika na Serikalì.
(iv) Cheti au Stashahada ya Takwimu (Certificate or
Diploma in Statistics) kutoka chuo kinachotambuliwa
na Serikali.
(v) Cheti au Stashahadayavyombo vya Majini
(Certificate or Diploma in Marine Transportation
and Operation) kutoka katika Chuo kinachotambulika
na Serikali.
(vi) Cheti au Stashada katika fani ya uchapaji (Printing)
(vii) Ujuzi na elimu ya kompyuta na uandishi mzuri
utazingatiwa.
E. MAJUKUMU NA KAZI ZA KUFANYA
(i) Kufungua, kupanga na kutunza majalada yenye
orodha ya majina ya watumiaji wa huduma
za Uhamiaji.
(ii) Kuandika Hati mbalímbaLi za Ubamiaji
(iii) Kufanya Doria schcme za Mipakani, Bandarini,
Vituo vya Mabasi, treni na sehemu zenye
vipenyo vya kuingia na kutoka nchini vikiwcmo vya
majini.
(iv) Kusindikiza watuhumiwa wa kesi za Uhamiaji
Mahakamani pamoja na wageni
wanaofukuzwa nchini (Deporters).
Kufanya ukaguzi kwcnye mahoteli, nyumba za kulaLa
wageni na sehemu za biashara.
(vi) Kuchapa au kuandika kwa kompyuta barua au
nyaraka mbalimbali zinazohusu kazi za kila
siku za Uhamiaji.
(vii)Kufanya matengenezo/ukarabati wa mitambo na
vitendea kazi vya Uhamiaji.
F: MAOMBI YOTE YAWE NA VIAMBATANISHO
VIFUATAVYO.
(i) Vivuli vya vyeti vya kumalizia masonia kwa mujibu
wa sifa zilizotajwa.
(ii) Nakala ya Cheti cha Kumaliza Elimu ya Msingi
(iii) Nakala ya cheti cha kuzaliwa
(iv) Picha mbili (passport size)
(v) Barua ya utambulisho kutoka kwa Mwenyekiti wa
Serikali za Mtaa.
G: UTARATIBU WA KUTUMA MAOMBI
Maombi yote yapite posta na barua za maombi
ziandikwe kwa mkono.
(i) Maombi ya nafasi ya mkaguzi msaidizi wa uhamiaji
yatumwe kwa;
KATIBU MKUU,
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI,
S.L.P 9223,
DAR ES SALAAM
(ii) Maombi ya nafasi ya Koplo wa uhamiaji na
konstebo wa uhamiaji yatumwe kwa;
KAMISHNA MKUU WA UHAMIAJI,
S.L.P 512,
DAR ES SALAAM
mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 27/02/2014
kwa nafasi zote.
 
Haya mambo ya kudai std 7 certificates yanatuchemsha aisee wengne tulisafil kufuata vyeti hadi kijijini na tukakosa na hawa leo wanavitaka dah! wameharibu siku yangu kwa kweli.
 
TANGAZO LA NAFASI ZA
KAZI
Kamishna Mkuu wa
Uhamiaji anatangaza nafasi
za kazi katika Idara ya
Uhamiaji. Nafasi hizo ni
Mkaguzi Msaidizi wa
Uhamiaji, Koplo wa
Uhamiaji na Konstebo wa
Uhamiaji.
A. MKAGUZI MSAIDIZI
WA UHAMIAJI (Nafasi 70)
SIFA
ZINAZOHITAJIK
A
Awe na Shahada
ya Kwanza au
Stashahada ya
Juu kutoka Vyuo
Vikuu
vinavyotambuli
wa na Serikali
katika fani
zifuatazo:
Sheria, Uchumi, Biashara,
Utawala, Uandishi wa
Habari, Ualimu, Usafirishaji,
Raslimali Watu, Sayansi ya
Kompyuta, Teknolojia ya
Habari na Mawasiliano,
Takwimu, Uchapaji,
Uhandisi Majengo na
Uhandisi Mitambo.
Awe na umri
usiozidi miaka 35
MAJUKUMU NA
KAZI ZA
KUFANYA
Kusimamia doria
sehemu za
Mipakani,
Bandarini, Vituo
vya Mabasi,
Treni na sehemu
zenye vipenyo
vya kuingia na
kutoka nchini
vikiwemo vya
majini
Kusimamia
shughuli za
upelelezi,
kuandaa Hati ya
Mashitaka na
kuendesha
mashitaka
Kutoa na
kupokea fomu
mbali mbali za
maombi ya Hati
za Uhamiaji
Kufanya
Ukaguzi wa
Mwanzo wa
Maombi
mbalimbali
Kuagiza
ufunguaji wa
Majalada ya
watumiaji
Kupokea na
kukagua Hati za
Safari, Fomu za
Kuingia na
Kutoka Nchini
Kuidhinisha
malipo
mbalimbali ya
huduma za
Uhamiaji kwa
wanaostahili
Kutunza
kumbukumbu za
ruhusa za watu
wanaoingia na
kutoka nchini
Kukusanya,
kusimamia na
kutunza
takwimu za
Uhamiaji na
Uraia
Kuandaa majibu
ya maombi yote
ya huduma za
uhamiaji
yaliyokubaliwa
au kukataliwa
B: KOPLO WA UHAMIAJI
(Nafasi 100)
1. SIFA
ZINAZOHITAJIKA:
Awe amehitimu
Kidato cha Sita
na kufaulu
Awe na umri
usiozidi miaka 30
C. KONSTEBO WA
UHAMIAJI (Nafasi 100)
1. SIFA
ZINAZOHITAJIKA:
Awe amehitimu
Kidato cha Nne
na kufaulu
Awe na umri
usiozidi miaka 25
D: SIFA ZA ZIADA:
KOPLO/KONSTEBO WA
UHAMIAJI
Cheti cha Ufundi
Stadi (Full
Technical
Certificate)
kwenye fani ya
Umeme na
Mitambo
Cheti au
Stashahada ya
Uhaziri
(Certificate or
Diploma in
Secretarial
Studies) kutoka
Chuo
kinachotambulik
a na Serikali
Cheti au
Stashahada ya
Kutunza
Kumbukumbu
(Certificate in
Records
Management)
kutoka Chuo
kinachotambulik
a na Serikali
Cheti au
Stashahada ya
Takwimu
(Certificate or
Diploma in
Statatistics )
Kutoka Chuo
kinachotambulik
a na Serikali.
Cheti au
Stashahada ya
Vyombo vya
Majini
(Certificate or
Diploma in
Marine
Transportation
and Operations)
kutoka Chuo
kinachotambulik
a na Serikali
Cheti au
Stashahada
katika fani ya
Uchapaji
(Printing)
Ujuzi na Elimu
ya Kompyuta na
Uandishi mzuri
utazingatiwa
Cheti cha Ufundi
Makanika,Kozi
ya juu ya
Udereva na
Leseni ya
Udereva Daraja
C
E. MAJUKUMU NA KAZI
ZA KUFANYA
Kufungua,
kupanga na
kutunza
majalada ya
huduma
mbalimbali za
Uhamiaji
Kuandika Hati
mbalimbali za
Uhamiaji
Kufanya doria
sehemu za
Mipakani,
Bandarini, Vituo
vya Mabasi,
Treni na sehemu
zenye vipenyo
vya kuingia na
kutoka nchini
vikiwemo vya
majini.
Kusindikiza
watuhumiwa wa
kesi za Uhamiaji
Mahakamani
pamoja na
wageni
wanaofukuzwa
nchini
Kufanya ukaguzi
kwenye
mahoteli,
nyumba za
kulala wageni na
sehemu za
biashara.
Kuchapa au
kuandika kwa
kompyuta barua
au nyaraka
mbalimbali
zinazohusu kazi
za kila siku za
Uhamiaji.
Kufanya
matengenezo/
ukarabati wa
mitambo na
vitendea kazi
vya Uhamiaji
Kuandaa na
kutunza
takwimu za
huduma
mbalimbali za
uhamiaji
F. MAOMBI YOTE YAWE
NA VIAMBATISHO
VIFUATAVYO:
Nakala za vyeti
vya kuhitimu
masomo kwa
mujibu wa sifa
zilizotajwa
Nakala ya Cheti
cha Kumaliza
Elimu ya Msingi
Nakala ya Cheti
cha Kuzaliwa
Picha mbili
(Passport Size)
Barua ya
Utambulisho
kutoka kwa
Mwenyekiti wa
Serikali za Mitaa
G. UTARATIBU WA
KUTUMA MAOMBI
Maombi yote yapitie posta
na barua za maombi
ziandikwe kwa mkono.
Maombi ya
nafasi ya
Mkaguzi
Msaidizi wa
Uhamiaji
yatumwe kwa:
KATIBU MKUU,
WIZARA YA MAMBO YA
NDANI YA NCHI,
S.L.P. 9223, DAR ES SALAAM
Maombi ya
nafasi ya Koplo
wa Uhamiaji na
Konstebo wa
Uhamiaji
yatumwe kwa:
KAMISHNA MKUU WA
UHAMIAJI,
S.L.P. 512, DAR ES SALAAM
Mwisho wa kutuma
maombi kwa nafasi zote ni
tarehe 27/02/2014
 
du! sasa sisi wa procurement tupo kundi gani au ndo hatuna chetu
 
Back
Top Bottom