Uhamiaji wamekusikieni

Uhamiaji wamekusikieni

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,648
Reaction score
10,843
Naamini kilichaondikwa kwenye hilo "tangazo" ni kweli! Hakuna tena longo longo kwenye utoaji wa PASI YA KUSAFIRIA! Kinachohitajika ni NIDA, BIRTH CERTIFICATE yako na ya MZAZI wako mmoja!

Hongereni sana UHAMIAJI!
 
Attachments

  • Screenshot_20250905-004342.jpg
    Screenshot_20250905-004342.jpg
    337.1 KB · Views: 17
Naamini kilichaondikwa kwenye hilo "tangazo" ni kweli! Hakuna tena longo longo kwenye utoaji wa PASI YA KUSAFIRIA! Kinachohitajika ni NIDA, BIRTH CERTIFICATE yako na ya MZAZI wako mmoja!

Hongereni sana UHAMIAJI!
Mbona ile fee ya 50 000 haijawekwa. Ingekua rahisi hivo watu whinge pinga fortnight mwezi mzima wana subilia passport
 
Big up "Kamanda".
 
Attachments

  • Pasipoti_ni_haki_ya_kila_raia_wa_Tanzania(144p).mp4
    1.2 MB
Back
Top Bottom