Uhamiaji ni nini?

Mbangubangu

Senior Member
May 6, 2013
188
0
Wadau naomba tujaribu kulitaza hili kwani me naona napata wakati mgumu kulitambua.
Hii idara ya uhamiaji ipo upande gani hasa ni jeshi au ni mamlaka?
Kwani katika mafunzo yao wanapitia ktk mafunzo ya kijeshi.jkt.magereza au polisi na pia vyeo vyao ni vya kijeshi kabisa lakini cha kushagaza wakati kamishna wao mkuu anapoteuliwa sijawahi kusikia anaapishwa na rais.hapa nashindwa kuelewa kabisa wao ni kina nani.

Nawatakia siku njema na heri ya mwaka mpya 2014..
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom