Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,618
Habari wadau,
Kwa wale wenye taarifa mwageni hapa, mshahara wa uhamiaji
kwa graduate (mkaguzi msaidizi) ni shilingi ngapi kwa mwezi??
Koplo na Constable nao wanalipwa shilingi ngapi??
Kama haujui fanya upite, usichafue hewa.
NAWASILISHA.
Wanalipa TGS D kwa graduate
Umepata kazi nini, subiri mkataba wa kazi utaona mshahara ni shilingi ngapi....!!!
mdau hapo juu anasema ni TGS D yaani 567,000.... kama nitakuwa sijakoseaNangoja majibu!
Please help guys!
ambao hawajui wamekaa kimya, nawewe ungetulia tu dada angu
Mi sio dada mkuu, niombe msamaha kwa hilo
mh labda jamaa kaona una tabia za kidada...
mdau hapo juu anasema ni TGS D yaani 567,000.... kama nitakuwa sijakosea
mkuu kwa hio kwa wale ambao ni form six grade yao ikoje?
uhamiaji scale zao ni TPSW na sio TGS kama mdau alivyosema hapo juu!! coplo inaanzia 389000 mpaka 547000 basic,graduate yupo kati ya 547000 mpaka 7 na usheeee!!! lakini kuna posho ya 150,000/= so akili mu kichwa!!
laki 320000 kabla ya makato.
mdau hapo juu anasema ni TGS D yaani 567,000.... kama nitakuwa sijakosea