wakuu hakikisheni mnasoma tangazo vizuri na requirements zinazohitajika kwenda navyo..kwa ufupi ni kuwa mnatakiwa kuripoti tarehe 1 december siku ya j3 pale ofisi za makao makuu ya uhamiaji(kurasini) na vyeti halisi vya kuzaliwa na academic plus picha mbili za rangi..muda ni saa mbili kamili asubuhi..kumbuka kuwahi na kufika kwa wakati bila kusahau requirements zote zinahitajika.