Kweli ilikuwa na ubin-adam na unyoofu kidogo. Jamaa yangu kapata wakati babaake hajulikani hata kwa mjumbe wa nyumba kumi, hajahonga wala hamjui mtu huko juu. So tuwe tunajaribu bahati jamani!
wakuu hakikisheni mnasoma tangazo vizuri na requirements zinazohitajika kwenda navyo..kwa ufupi ni kuwa mnatakiwa kuripoti tarehe 1 december siku ya j3 pale ofisi za makao makuu ya uhamiaji(kurasini) na vyeti halisi vya kuzaliwa na academic plus picha mbili za rangi..muda ni saa mbili kamili asubuhi..kumbuka kuwahi na kufika kwa wakati bila kusahau requirements zote zinahitajika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.