Mnasema ni mawakala wenu ndiyo wanafanya udanganyifu....wakati huo huo mnasema ninyi hamuhusiki...(Au mmi kwenye red ndiyo sijaelewa?)
Hivi wasiowajua baba au mama yao huwa hawapati passport kirahisiNa hapo bado hujaambiwa kuonesha makaburi ya babu na bibi yako wa 7 ili kuthibitisha uraia wako!! Awamu ya wezi hii, hapo wanatafuta hela tu,:maana hatutabadilishiwa bure! Jamani Mr. dhaifu tuonee huruma wenzio!!!