Daimler
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 556
- 973
Tangu Serikali ya Awamu ya Tano, iamue kuhamia Dodoma, Watumishi wengi wa Serikali Kuu wamekuwa wakihamia mkoani Dodoma kutoka Dar es Salaam. Wizara zote, pamoja na Makamu wa Rais, wameshahamia Dom. Hata Rais Dk. John Pombe Magufuli alishatangaza kuhamia Dom kabla ya mwisho wa mwaka huu 2018.
Kumbuka kuwa, uhamaji wa Watumishi wa Wizara ni tofauti na watumishi wa kada za chini kwani hawa wa Wizara huwa wana vipato vikubwa, so it's likely kuwa, wengi wao wameshajenga makazi ya kudumu jijini Dar es Salaam, huku wakiwa na miradi mingi ya kibiashara ambayo kwa namna yoyote ni ngumu kuiacha ndani ya muda mfupi. So kinachofanyika, wengi wa Watumishi hao watalazimika kuziacha familia zao jijini Dar (aidha forever ama kwa muda).
Wakati Watumishi hao wanaanza kazi, wengi wao walianzia vijijini huko mikoani ila baada ya kupata uzoefu walipanda ngazi na kujikuta wakifanya kazi wizarani. Hata hivyo, wengi wao walioa huko walikoanzia maisha tena kabla hela hazijawatembelea na probably wengi wa wake zao wa awali hawakuwa na mvuto mkubwa coz na wao hawakuwa na nafasi kubwa serikalini.
Sasa, Watumishi hawa wana fedha za kutosha, halafu wanapelekwa Dodoma, huku wakiziacha familia zao Dar, what will happen?
Mkoa wa Dodoma unakaliwa na Makabila makubwa mawili: Wagogo na Warangi, huku yakiwepo makabila madogo madogo ya Wakaguru, Waalagwa, Wabulunge na Wasandawe. Of course wapo wakuja Wahehe, Wasagara, Wakaguru na Wanyaturu.
Makabila hayo ni ya Wabantu isipokuwa Waalagwa na Wabulunge (Hamites). Pia wapo Bushmen (Wasandawe), pamoja na yenye mchanganyiko wa Wabantu na Hamites (Warangi, Wanyaturu, Wanyilamba na Wagogo).
So, utaona kuwa, Waalagwa na Wabulunge huwa ni weupe lakini ni wachache sana kiasi cha kutokuwa na impact kubwa mkoani Dodoma kama ilivyo kwa Warangi wa Kondoa. Warangi wengi ni weupe na wana sura za kuvutia kama ilivyo kwa Wanyaturu na Wanyilamba.
Watumishi mpo. Ngojeni ila nina uhakika kama ambavyo imekuwa ikiwatokea wanaume wote wanaoacha nyuma familia zao na kwenda kufanya kazi Kondoa, Singida, Kiomboi, Babati, Mbulu, Karatu, Arusha, Rombo, etc, etc, etc; ni muda mchache tu watumishi wengi wataangukia kwenye radar za Warangi, Wanyaturu, Wanyilamba na Wagogo mkoani Dodoma.
Karibuni Dodoma.
Wanafunzi wa kirangi wilayani Kondoa wakiwa na Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo.
Walimbwende wa Miss Tanzania mwaka 2011. Sura nyingi zinazoonekana hapo zinajionyesha dhahiri ni za Ukanda gani. Sasa haya yanahamia Dom.