Ntakupigia mkuuu.....ila yale madini huku adimu,Aisee jioni tuwasiliane tafadhali
Niliona kopi moja sehmu hivi, kava Rangi ya njano, na namba tatu usawa wa mikono....Aisee jioni tuwasiliane tafadhali
Ila mkuu huku nikupatwa kwa mti asee!
Inawezekana ni tembo wa mwendokasiUhalisia wa picha huendana na mazingira kwa kilichopo kwenye hiyo picha inaonekana ni jambo lisilowezekana kwani ni ngumu kwa mazingira yetu ya hapa duniani kufanyika jambo kama hilo!
hivyo uhalisia huendana na mazingira husika
Sawa tuta yajenga brooUsijali mzigo mpya umeingia
Ha ha haInawezekana ni tembo wa mwendokasi
Yeah mpigaji[emoji3] [emoji3] [emoji3] mwenye picha huyo hapo mtini au unamaanisha mpigaji?
Huo mti ni aina gani wa kuweza himili uzito wa tembo???
ngoja nimcheki vizuri, utani sio kitu kizuri