Asante KiongoziSawa tumekuelewa.
Sasa wewe nawe ni Ficus sycarmorus au Ficus thorningii?Sawa tumekuelewa.
Ficus elastica.Sasa wewe nawe ni Ficus sycarmorus au Ficus thorningii?
TumekuelewaWanajamvi namshukuru Mungu kwa uzima huu nilionao natoa mtazamo juu ya uhalisia wa maisha ya ndoa!
Wengi wanaingia kwa kubipu ila hawajadhamiria,iweje uoe Leo hata wiki haifiki unafumaniwa ?hebu tuwe serious, iweje uoe Leo mwezi tu umuone mwenzio sio mzuri ?tuwe serious, iweje uoe Leo mwaka tu ndugu waseme umeoa mwanamke hazai ?tumshirikishe Mungu !
We live once in lifetime ,no second chance so,tuishi kulingana na Muda ,wengi wanataka kuishi kama alivyokuwa single bila kujali kuwa ukishaoa au kuolewa unatakiwa kuwa kama baba au mama wa familia.
Nini mwongozo wa kutunusuru toka huku?
Ni uvumilivu,kujitambua na kujiheshimu,huu utashi tutaupata tu tukishamjua Mungu!wewe ambae unawaza kumuacha mwenzio usimwache tena same he badilika na muenjoy maisha ,
wengine wanasema nimuache nipumzike,hapo utakuwa unajidanganya kumbuka kuna MAMILLIONI YA MAMIAKA YANAKUSUBIRI YA KUPUMZIKA KABURINI
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Mwanamke wa kukubali mapenzi pekeake bila hela hayupo hata kama yeye atakuwa na hela zake still atataka umhudumie. Shida huanzia hapo, ubinafsi!Ni lazima tuishi kwa kusapotiana na kushiriki kuidumisha furaha maishani. Its not a single person obligation,each one should put some efforts.
Laiti watu wangejifunza kuwa kuishi maisha bila ubinafsi ndio njia sahihi ya kujipatia furaha then ndoa zingekuwa zenye furaha mno.
Ni sawa na mmarekani anapomkazia NK asiwe na silaha za nyuklia ila yeye anazo...Selfishness!!!
Nimekuelewa sana hasa hapo kwenye selfishnessMwanamke wa kukubali mapenzi pekeake bila hela hayupo hata kama yeye atakuwa na hela zake still atataka umhudumie. Shida huanzia hapo, ubinafsi!Ni lazima tuishi kwa kusapotiana na kushiriki kuidumisha furaha maishani. Its not a single person obligation,each one should put some efforts.
Laiti watu wangejifunza kuwa kuishi maisha bila ubinafsi ndio njia sahihi ya kujipatia furaha then ndoa zingekuwa zenye furaha mno.
Ni sawa na mmarekani anapomkazia NK asiwe na silaha za nyuklia ila yeye anazo...Selfishness!!!
Mwanamke wa kukubali mapenzi pekeake bila hela hayupo hata kama yeye atakuwa na hela zake still atataka umhudumie. Shida huanzia hapo, ubinafsi!Ni lazima tuishi kwa kusapotiana na kushiriki kuidumisha furaha maishani. Its not a single person obligation,each one should put some efforts.
Laiti watu wangejifunza kuwa kuishi maisha bila ubinafsi ndio njia sahihi ya kujipatia furaha then ndoa zingekuwa zenye furaha mno.
Ni sawa na mmarekani anapomkazia NK asiwe na silaha za nyuklia ila yeye anazo...Selfishness!!!
Maana yake ni kwamba UMEOA..au UMEOLEWA ...mbona bado UNAHANGAIKA na WAPENZI wengine nje? unapaswa ujitambuwe....PIA kuoa au kuolewa ni UTULIVU.....na ni mwanzo wa kuanzisha family.....mimi nimemuelewa hivyo....mleta UZI..nimejitahidi kutaka kuelewa unachotaka kumaanisha nimeshindwa kabisa kuelewa lengo au maana yako,n`way ngoja tusubiri wajuvi waje watiririke watueleweshe...
Sio kuumbwa, ni kujiendekeza tu trust me. Kama ukiamua kuishi hivyo ni sawa hukataliwi ila unaweza kataa hayo maisha kama unavyoukataa ujinga darasani. Hakuna aliezaliwa anajua ila tumeweza kupitia kujifunza mkuu.That's nature, tumeumbwa hivyo kuhudumiwa, hata tuwe na pesa kuliko waume zetu, hazitutoshi.
Mungu hakusubiri mamilioni ya miaka kumtimua shetani alipopanga kumsaliti. Mie sikubali mwanamke anaenda kuto...na wanaume mwingine halafu niseme navumilia. Kama mimi natoka na wanawake wengine hapo navumilia so ngoma droo hakuna shida.Wanajamvi namshukuru Mungu kwa uzima huu nilionao natoa mtazamo juu ya uhalisia wa maisha ya ndoa!
Wengi wanaingia kwa kubipu ila hawajadhamiria,iweje uoe Leo hata wiki haifiki unafumaniwa ?hebu tuwe serious, iweje uoe Leo mwezi tu umuone mwenzio sio mzuri ?tuwe serious, iweje uoe Leo mwaka tu ndugu waseme umeoa mwanamke hazai ?tumshirikishe Mungu !
We live once in lifetime ,no second chance so,tuishi kulingana na Muda ,wengi wanataka kuishi kama alivyokuwa single bila kujali kuwa ukishaoa au kuolewa unatakiwa kuwa kama baba au mama wa familia.
Nini mwongozo wa kutunusuru toka huku?
Ni uvumilivu,kujitambua na kujiheshimu,huu utashi tutaupata tu tukishamjua Mungu!wewe ambae unawaza kumuacha mwenzio usimwache tena same he badilika na muenjoy maisha ,
wengine wanasema nimuache nipumzike,hapo utakuwa unajidanganya kumbuka kuna MAMILLIONI YA MAMIAKA YANAKUSUBIRI YA KUPUMZIKA KABURINI
Ukisha anza na mawazo ya kuwa ndoa ni kitanzi , utapotea....!! Ndoa ni moja ya hata za maisha ! Na kila hata za maisha hazikosi changamoto... Kinachoitajika tuu ni hekima za kukabiliana na hayo matatizo, ambayo yatatofautiana kulingana na ulivyo yachagua wewe ! Choose wisely...!Sawa mkuu acha tujipange kabla ya kuingia huko kitanzini.