Uhalisia wa maisha ya kila siku

Uhalisia wa maisha ya kila siku

Mfano Mtengeneza colgate, serikali pamoja na Mimi ambaye ni mangi nauza kiduka changu
Wewe unaponunua Colgate kwangu unapokuwa nyumbani unatumia Colgate tayari Mimi naingiza % japokuwa sipo eneo hilo wakati huo
Kwahiyo uliyoandika hapa inawahusu wafanyabiashara aina zote hata wachoma vitumbua tu
Uko sawa ... hapa nilitaka kuwakumbusha wale ambao hakuna chochote kinachomwingiza hata shilingi mia bila yeye kuchakalika. Hana kitu kingine tofauti na kutegemea kamshahara; mwingine hata mshahara hana zaidi ya kutegemea wazazi au mume au mtu tu anayeishi naye.
 
Serikali kwa hao wooote waliochukua hela kwangu inachukua hela kwao halafu badala ya hizo hela kurudi kwangu zinaenda kwenye matumbo ya watu.
Alafu utakuta mtu anaimba eti kidumu ... mara hoo .. wacha waisome namba!
 
We labda pengine Kwa siku huwa unaingiza kiasi gani pasipo uwepo wako!!??
Tupe mfano isiwe pengine we unatushaur lakin we haupo hivo, ..... We Kwani unaingiza Kiasi gani Kwa siku!!??????? [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Labda nikujuze tu kwa ufupi ... iko hivi ...
Ukikutana na Epic Organic Fertilizer ....
Ukikutana na EMO ....
Ukikutaba na Epic Animal Feed ...
Ukikutana na Heroic Shampoo
Ukikutana na Heroic multipurpose liquid Soap ...
Ukikutana na Moringa Oreifela Powder ....
Hii ni kwa uchache tu ....
... Ujue kuna kiasi fulani kinaingia kwa Tutor B ...
 
Mpaka wanakuchukulia zako bila shaka na wewe kuna ulipozichukua mkuu.

Umeshauri vyema ila sio rahisi kwa kila mtu.
 
Mpaka wanakuchukulia zako bila shaka na wewe kuna ulipozichukua mkuu.

Umeshauri vyema ila sio rahisi kwa kila mtu.
Hapo kwenye bold ... ni kwa wanaojiongeza sio kwa kila mtu.
 
UHALISIA WA MAISHA YA KILA SIKU

Ukiamka asubuhi na kuwasha taa, ujue shirika la Tanesco wamechukua hela toka kwako.

Ukienda bafuni kuoga ujue Idara ya maji wamechukua hela toka kwako, kiwanda cha sabuni pia wamechua za kwao.

Ukipiga mswaki kwa kutumia dawa – ujue kiwanda cha kutengeneza dawa wamechukua hela toka kwako.

Ukielekea kazini ujue waendesha bodaboda, daladala na makampuni ya mafuta wamechukua hela toka kwako.

Wakati ukiwa ofisini ukajisikia kupata kifungua kinywa ujue mwenye mghahawa / mama ntilie kachukua zake toka kwako … NA MENGINE MENGI.

Hivi hujiulizi ni kwa nini hakuna sehemu ambapo hata wewe unapaswa kuchukua hela pasipo uwepo wako? Njia rahisi ya kuchukua hela zako pasipo wewe kuwepo ni kujiingiza kwenye ujasiriamali. Jenga mazingira ya kupata hata Tshs. 5,000/= pasipo wewe kuwepo mahali pale.

Nikutakie Jumanne njema yenye mafanikio.
Nimekuelewa mkuu
 
Nikweli kiongoz lakini,utambue tumeumbwa kutegemeana.Ata wewe unaweza kuwa unafanya kama ulivyotoa ushauri ila umeajiri watu je?ulio waajiri wanapata kitu roho inapenda nawao wakafanye kama usemayo.au umeona useme kwa mwemko wa hisia zako juu ya kutafakar mambo mbalimbali
IMG-20190707-WA0002.jpeg
 
Back
Top Bottom