Baadhi ya vitu hua ni kweli vinatumika na kuharibiwa, niliwahi kuona behind the scene ya LOST ni kua walitumia ndege ndogo na kuikata katikati, kwenye movie utaona hiyo ndege ilianguka kwenye kisiwa huko kusikoishi watu, kwaio kuna baadhi ya vitu wanatumia kweli.