Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,249
Nimekua nikifuatilia sana hizi zinazoitwa dakika za nyongeza
- sioni uhalisia wake maana mpira unakufa muda mwingi sana lkn dk zinakua chache
- natambua [rerogative ya refarii kwa sasa lkn sidha i kama wana uhakika
- sidhani kama kuna saa muafaka ya kuzihesabu
- ...................................................