[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asante MH. Rc kwa kusaidia zoezi hili lisitishwe. Sakata lako limesaidia watumishi kupumua, achana na wanaokulaumu na kukulazimisha utoe vyeti vyako hadharani. Wewe ni kinga na ngao kuepusha usumbufu kwa watumishi.